bajeti ya ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Je, TARURA Morogoro wapo likizo au hakuna bajeti ya ujenzi wa barabara? Wakazi wa Manyuki tunapata shida

    Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA). Barabara nyingi zimegeuka kuwa kero kubwa...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi

    Hi ------ Posti hii inaeleza jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi. Mambo muhimu yaliyoangaziwa ni: 1. Aina ya ardhi: - Tambarare: Gharama hupungua. - Mteremko/milima: Gharama huongezeka. 2. Aina ya udongo: - Laini: Huhitaji msingi wa kina → gharama huongezeka. -...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ujenzi 2025/26 yapaa kwa 28.89%, Ulega asema itaharakisha Miradi ya Kimkakati na dharura 81

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2025/26 ya Shilingi trilioni 2.28, ikiwa ni ongezeko la takribani asilimia 28.89 kutoka trilioni 1.769 ya mwaka 2024/25. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema bajeti hiyo inalenga kuharakisha...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sumve apinga Bajeti ya Ujenzi, adai kuchoshwa na Uongo wa Miaka mingi

    Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni leo Jumanne Mei 6, 2025 amekuwa mbunge wa kwanza kusikika akipinga bajeti ya Serikali kwa madai ya kuchoshwa na uongo. Mageni ameipinga bajeti ya Wizara ya Ujenzi iliyowasilishwa jana Jumatatu, Mei 5, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ambaye aliomba...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa CCM aipinga bajeti ya ujenzi, awaita mawaziri waongo

    Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni leo Jumanne Mei 6, 2025 amekuwa mbunge wa kwanza kusikika akipinga bajeti ya Serikali kwa madai ya kuchoshwa na uongo. Mageni ameipinga bajeti ya Wizara ya Ujenzi iliyowasilishwa jana Jumatatu, Mei 5, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ambaye aliomba...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge amsonya Mwenyekiti wa Kikao Bungeni akichangia Bajeti ya Ujenzi

    Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi alivyomsonya Mwenyekiti wa Bunge wakati akichangia Bajeti ya Ujenzi baada ya kuambiwa muda wake wa kuchangia umeisha.
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha bajeti wizara ya ujenzi kwa asilimia 100

    Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na ukamilishaji viwanja vikubwa vya ndege. Jana Mei 29,2024 Waziri...
Back
Top Bottom