bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania NYUMBA AMBAYO BADO HAIJAISHA INAUZWA

    .
  2. JamiiForums Tanzania Hivi bado tuna sababu ya kuwa na serikali hii katika taifa hili.

    Nianze kwa kusema siamini katika chama chochote, na nasikitika kwa kila kibaya kinachoendelea katika taifa hili....kama mmoja wa wananchi na mlipa kodi inauma kuwa wamekula kodi zetu kwq miaka yote tangu uhuru hadi sasa na hakuna aliyehangaika nao zaidi ya kuwasema tu....wamenogewa kiasi cha...
  3. JamiiForums Tanzania Inasemekana huyu mzee bado anaendelea kumkimbiza Mzize mpaka leo

    Itakuwa vigumu sana kuja kuwaaminisha wajukuu zangu kwamba huyu beki alikuwa mbele kabla mzize hajampita na kutoa assist moja kali sana, Na huyo ndiye beki wao tegemezi 😀😀😀
  4. G

    JamiiForums Tanzania Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

    Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000 Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa mno kama Mdude Nyangali atafika wikiedi hii bado hajaangukia mikononi mwa Polisi

    Salaam wanaJF. Kauli ya Kada wa Chadema, Mdude Nyangali kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatafuta roho yake ni kauli nzito mno isiyotakiwa kupuuzwa hata kidogo na vyombo vya ulinzi na usalama. Mdude amesema straight bila kumung'unya maneno kwamba Samia anataka atekwe, ateswe, auawe na kutupwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

    Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa. Hivyo basi ili...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mla panya bwana! Amechapiwa na ushahidi anao lakini bado anaendelea kumuamini huyu mnyaki

    .nn
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi bado mna imani na CHADEMA bado kuja kuikomboa Tanzania?

    Kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwa nyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Upatikanaji wa Passport kwenye ofisi ya Uhamiaji pale Kibaha Mjini bado ni changamoto

    Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport. Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya. Je ni haki? Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...
  10. JamiiForums Tanzania Bado nawaza ni kwanini Polisi wamezuia maandamano ya CHADEMA?

    Wanajamvi za muda huu?, https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mimi sio motivatonal speaker ila nina uhakika zifuatazo ndizo sababu kuu za sisi Waafrika kuwa na maendeleo duni ya kifikra na mali.

    Kuna wakati nilihisi tumelaanika, kuna wakati nilihisi ndivyo tulivyopangiwa kuwa. Kuna wakati nilihisi mafanikio tunayoyasaka ni mipangilio ya mzungu alioleta labda hii ligi sio yetu kwa maana asili yetu ilikuwa ni bush kufanya hunting and gathering. Lakini i was wrong, Sio kwamba sisi ni...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni salama sana na tunapaswa kuvipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Ndugu zangu Watanzania, Pamoja na matukio machache yaliyojitokeza hapa katikati,lakini haiondoi ukweli kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana iliyotukuka ya kuhakikisha kuwa Taifa letu linaendelea kutamalaki kwa amani, Utulivu na usalama wa hali ya juu sana kuanzia...
  13. JamiiForums Tanzania Jamani watu bado wanasota na Selection za Chuo

    Ninaye classmate Wangu jaman yeye kachaguliwa bachelor of laboratory science and technology na education ya science. Sasa hajui aendako ni wapi kaniomba ushauri na mimi nimeleta kwenu wana JF
  14. JamiiForums Tanzania Bado issue ni ile ile jamani tusichokane

    JE hii
  15. G

    JamiiForums Tanzania Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  16. JamiiForums Tanzania JF bado ina watu wema. Ndugu Kalaga Baho ni miongoni mwao.

    Siku hizi mitandaoni hata JF kumekuwa na posts na comments nyingi sana za chuki. Single Mama na waalimu wamekuwa wahanga wakuu wa hizi chuki. Pamoja na wingi wa watu wenye roho mbaya ila bado wapo wachache wema. Kuna watu wako tayari kukusaidia bila kukujua wala kutaka chochote kitu kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania Kama timu yako haipo hapa wewe bado mdogo soka la Afrika

    RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL) CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando Enugu...
  18. JamiiForums Tanzania Nafungua Akaunti ya benki NMB mwezi unaisha bado sijamaliza

    Habari wakuu, Hivi hapa kutakua na shida gani. Naenda naambiwa leo fulani hayupo ndio anafanya hiyo kazi. Sasa imefika muda naanza kubembeleza sasa.
  19. JamiiForums Tanzania Kama bado Upo kwa Wazazi,Usitoke!

  20. T

    JamiiForums Tanzania Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma he zimetoka au bado

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma zimetoka au bado
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…