bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Mabilioni yaliyomwagwa kukarabati uwanja wa Mkapa mbona bado uwanja mbovu?

    Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi chote hicho, na kwa mabilioni yaliyomwagwa pale, Tulitarajia uwanja angalau uwe Pitch yenye quality...
  2. G

    Kenya wametufunika kwenye shughuli za kimaendeleo, Benjamin fernandez kijana wa kitanzania aliehamishia biashara zake Kenya na Kutajirika zaidi anena

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
  3. D

    PreGE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

    Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika. Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta, Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024. Kawawekea matozo ya kila...
  4. Tumeshuhudia madhara ya kuwa desperate na mademu ila bado tumo tu. Kuna energy fulani inayokuvuta katika tabu pale unapokuwa mshamba wa wanawake.

    Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu. Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu. Tumedharililishwa kisa wake za watu. Tumefirisika kisa makahaba Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza Tumefukuzwa makazini kisa ku-date na work mates Tumepitia divorce kisa cheating na michepuko Tumechelewa...
  5. Utawala bora bado ni tatizo kwa hii nchi

    Kumbe watu wanakula mitonyo yetu na sie tumekaa kimyaa tuu?
  6. M

    Chadema acheni maisha ya kifahari chama bado ni Maskini sana

    Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama; 1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano. 2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa. 3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa 4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni...
  7. Hiki ndicho kinatakiwa kuwa kiwango cha chini kabisa cha imani ya mtu ambaye bado anaingia nyumba za Ibada

    Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake. Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani. Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa aina zao wanaonyesha ujasiri wa kuyapuuza na hata kutoyazungumzia au kuyapa promo wanaomcha Mungu na...
  8. Kwanini bado usipuuze Maombi?

    Bado maombi yana nguvu. Puuza wanaopuuza maombi. Maombi Yanaweza kugeuza maamuzi ya Serikali na viongozi wakubwa wa nchi. Mfalme wa Iran Koreshi, Altashasta na Dario walijikuta wanaendeshwa na maombi ya wakina Danieli, Nehemia, Ezra licha ya ukatili wao. Maombi yalimtoa Petro Gerezani. Maombi...
  9. Kama bado unajitafuta toyota passo ndo usafiri sahihi

    Wakuu hii ni passo ya 2 kumiliki, ya kwanza nlimvua mtu nikaa nayo km miaka 4 nikauza nikanunua mpya sasa ninayo mwaka wa 5 unaelekea, mimi ni heavy user nasafiri nayo sana hadi km 1300 non stop, coz napenda kuwa na independent time kwamba nikipanga nasafiri mda flan na mda flan nitakuwa mahali...
  10. Je, bado hujapata Airtel SME menyu?

    OFFLINE ❌❌🥶
  11. Vituo vya usaili kwa walimu ni bado?

    Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna taarifa yoyote. Shida ni nini hapa wakuu? Au majina ya vituo bado?
  12. K

    Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  13. Wasio na mwenza(mke/mume) au mtoto bado hawajaanza maisha?

    Kuna hii kauli watu huwa wanapenda kuisema wanaposimulia historia za maisha yao "nikampata mwenzangu tukaanza maisha..." Hivi kabla ya kumpata mwenza na watoto mtu anakuwa bado hujaanza maisha?
  14. Ni wapi bado tunahitaji sauti zaidi za wanawake? Je, ni katika Siasa, Elimu au Biashara?

    Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu. Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni siasa, biashara, jamii au elimu. Tunapozingatia changamoto nyingi zinazokumba jamii zetu, kama...
  15. Nishati Safi ya Kupikia: Je Tunahitaji Zaidi Utashi wa Kisiasa, Political Will, au Mahubiri ya Nishati Safi, Huku Mazingira Bado ni ya Kuni na Mkaa?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo. Utekelezaji wa hoja ya Nishati safi ya kupikia, unahitaji zaidi utashi wa kisiasa kuliko ahadi za maneno na kuwagawia bure mitungi ya gesi watu masikini wa kutupwa wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea ambapo hawana uwezo wa...
  16. Kuna watu wakiona hii picha basi roho zinawauma sana. Na bado sana.

    Endeleeni kujitoa mhanga na itikadi zenu za kitapeli.
  17. Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  18. Nauza laptop yangu hii bado nzuri kabisa

    Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 250,000 (njoo tuongee) 0687900668 namba yangu Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU) mwenge
  19. S

    Hivi kuna watu karne hii bado wanaumizwa na mapenzi?

    Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kuwa na mpenzi ambae nilimpenda sana na nadhani alijua kwamba nampenda hivyo akawa anautumia upendo wangu kwake kama udhaifu na fimbo ya kunichapia. Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kumvumilia mana hata ningesema nimuache haraka haraka nitaacha wangapi, siku...
  20. Video: Alia kama mtoto baada ya kugundua mke wake bado ana mahusiano na mzazi mwenzie

    Sikio la kufa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…