babeli

Babeli is a village in Tehsil Phagwara, Kapurthala district, in Punjab, India.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Zama za Babeli (Iraq) Uajemi (Iran) na Rumi zimeshapita Iran haiwezi kuinuka Tena LAZIMA ibondwe Kutimiza unabii tusiwe wavivu kusoma maandiko

    Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona Baada ya Rumi kuanguka Marekani kama Pembe mojawapo kati ya mataifa ya ulaya ndo superpower wa dunia ingawa hawezi kuwa...
  2. Dr Adam Francis

    Hukumu hii imekuja; kusudi walio hai wapate kujua ya kuwa Aliye juu anatawala katika falme za wanadamu, naye humpa amtakaye!

    [Dan4:1]Mfalme Nebukadreza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia yote; Amani iongezeke kwenu. [Dan4:4]Mimi, Nebukadreza, nalikuwa nikistarehe katika nyumba yangu, nikisitawi katika nyumba yangu ya enzi. [Dan4:5]Nikaota ndoto iliyonitia hofu; mawazo...
  3. Tech Max

    Kitabu cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh

    Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
  4. Tech Max

    Kitabu cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh

    Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
  5. Tech Max

    kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli (The richest man in babylon)

    kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli kitakusaidia kuwa tajiri (The richest man in babylon) kinauzwa kwa bei ya 10,000 Tsh. nicheki 0756704145. -> zijue kanuni fedha kiundani -> zijue siri za matajiri
  6. Fbn

    Mnara wa babeli uliangushwa na kukosekana fizikia wala msimuweke Mungu

    Leo waafrika dini zimewapumbaza mfano mtu unajua siasa unajibiwa na mtengeneza muvi.Hapa ndio utambue kuwa hata mnara wa babeli uliangushwa na wachambuzi ambao akili zao zilikuwa ndogo kwenye ujenzi. Leo chawa ndio washauri wa kila jambo.
  7. S

    Ujenzi wa Mnara wa Babeli: Wamiliki, Wahusika, zana, material na vifaa vya ujenzi

    Ni hivi 1. Wamiliki= Wanamtandao 2. Mkandarasi Mshauri= Mzee wa Msoga 3.Mkandarasi = Bi. Mkubwa 4. Architecture: Katiba Mbovu 5.Mafundi= Watu wa kitengo 6.Vibarua: Watu wasiojulikana 7.Mchanga=Damu za watu 8. Kokoto= utekaji 9 Cement= Madaraka 10. Tofali = Viburi 11 Mbao= Jeuri 12. Nondo=...
  8. M

    Maana ya mnara wa Babeli nchini Tanzania na miaka mitano mingine ya Rais Samia

    Watu wengi mumekuwa mkihusisha maana halisi ya maana ya mnara wa Babeli kama jinsi neno la Mungu linajieleza lenyewe lakini ikitazamia katika upande wa kiroho ukagusia sehemu ndogo tu ya siasa na amani katika nchi hii ya Tanzania utaona kuna ujenzi wa mnara wa Babeli japo si wote ambao...
  9. Francis pete kimati

    Maswali ni mengi Watanzania tunajiuliza kuhusu CHADEMA

    1.hiki chama hakina wazee wakutuliza hizi vurugu? 2.kuna kundi litasusa.je,hili kundi litaanzisha chama kipya au litasujudia vyama vingine ili wapokelewe? 3.Baada ya uchaguzi,kundi lililoshindwa kama hawatahama chama, kuna kuaminiana tena?...
  10. Bob Manson

    Kwanini Babeli na sio ISS?

    Habari mdau, fikiri kuhusu hili... Mungu alikasirika walipo jenga mnara wa Babeli, kwa lengo la kufikia mbinguni. Jiulize, je kwa sasa hana tatizo na international space station? Kama Mungu alizuia jaribio la watu kufika mbinguni, inamaana kwa sasa hawezi kuzuia? Perhaps, space is...
  11. Mhaya

    Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe

    Kabla sijakuandikia stori ya huyu mwamba wa Babeli katika nchi ya Babiloni, ngoja nijaribu na mimi kujiuliza maswali kadhaa. Watu wanasema wale Waisrael wa zamani sio wa sasa hivi, hao wa zamani walikwenda wapi? Wakati wa nyakati za mwisho tunaambiwa kwamba Waisrael wote duniani watarudi nchini...
Back
Top Bottom