baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kanye North: nitapenda kumchagua baba kuliko Mama

    Mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian aitwaye North amesema kama akiulizwa aishi na nani basi ni bora aishi na baba yake kuliko mama yake, tena atachagua hivyo hata akiulizwa mara elfu moja. Anasema: “Nitamchagua baba yangu siku yoyote ile nikiulizwa. Baba yangu ndiye shujaa wangu. Baba yangu...
  2. JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli ni mkomavu wa kisiasa au msaliti kwa baba yake?

    Mengi yamesemwa kuhusu kifo cha Hayati Magufuli. Watu wake aliofanya nao kazi kwa ukaribu wanasema Magufuli ameuwawa na kundi linaloitwa wanamtandao. Ukianza kulichakata kundi ili unakuwa members wake ndio wanaoratibu kila kitu kwa sasa kwenye CCM. Na kuna yule asemwi lakini ndio alikuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Baba wa Kikwete alikuwa anasuka ukindu baada ya kustaafu uDC

    Nyumba hii ndiyo baba wa Kikwete alikuwa akiishi mpk pale Kikwete alipopata urais ndipo ikabomolewa kujengwa mpya. Picha ya juu: Baadhi ya watoto wa Kikwete wakiwa na babu/bibi yao. Picha ya chini: Baba na mama wa Kikwete wakiwa kwenye "shughuli" (siyo sherehe). N. B. Ndiyo maana marekani...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  5. JamiiForums Tanzania Hamtaki mtoto aende kwa Baba ila matumizi mnataka hivi mmerogwa au shida nini?

    Unakuta umezaa na mdada ila kila ukimuomba mtoto aje anakataa unapewa sababu ambazo hazina msingi wowote. Yaani anataka uwe unatuma tu pesa ya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni kila siku kutuma au wametugeuza vitega uchumi vyao kisa tumezaa nao? Kwanini tutake watoto wetu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sasa hapa utasema ni kosa la baba kumtelekeza mtoto ?

    Kulikuwa na bwana mmoja aliyeishi na mke wake, lakini siku moja wakazozana. Kama ilivyo kawaida wakati mwingine wanawake wakiwa na hisia kali, hasa wanapokasirika husema mambo mazito, mke alimwambia kuwa mimba aliyobeba si yake na akamtaja mwanaume mwengine ndie aliemjaza mimba huku akitoa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kidonda Cha operatio kwenye korodani hakiponi baba yangu Umri 65,ana BP na sugar

    Habar wakuu Mzee wangu alifanyiwa operation kwenye korodani tar 13/9/2025,baada ya korodani kugeuka nakuwa na maumivu makali kwa siku5 ikabid afanyiwe operation, Sasa baada ya operatio alikaa wiki mbili nje ya hospital kuangalia maendeleo,Kisha wakamruhusu kurud mkoani, Sasa amekua...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo asante kwa kushiriki. Kigoma mjini ni ya Zitto

    Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Zitto ni gangue kwenye mitandao lakini huku mwepesi sana kama biskuti

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM, Baba Levo ametamba kuwa atashinda mapema sana saa tano asubuhi kwani mpinzani wake ni dhaifu kama biskuti
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Nawashangaa wanaomshabikia Polepole

  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Jessica Magufuli anakubalika hivi, kwanini hakugombea jimbo na kuachana na ubunge wa viti maalum?

    Nimesoma kichwa cha habari kwenye gazeti la Mwananchi japo linamilkiwa na wageni kiasi cha kukosa maana yake kuwa Jesca Magufuli alivyogeuka turufu kwa CCM Kanda ya Ziwa. Kama siyo uchawa na kutaka kuuhadaa umma, kama anakubalika kiasi. hiki, kwanini ameishia kwenye ubunge maalumu wakati ana...
  12. JamiiForums Tanzania TAZAMA JINSI BABA WA SHEIKH NJUKI AKIONGELEA KWA UCHUNGU KUHUSU KIFO CHA MWANAE NA KUHUSU ALBADIR ALIOSOMEWA

    https://youtu.be/_lshKiauQnI?si=oS7IUQmHxyEmnl5u hamis77 Echolima1 Marco Seth Tazameni mazito ya hawa wenzetu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!! " Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee

    Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana uwezo wa kufanya lolote na hatuna chakufanya Kwanza kabisa kabla ya kumzungumzia Shetani tizama Umri...
  15. JamiiForums Tanzania Nadhani Baba levo ni njia tu ya Zitto Kabwe kuingia bungeni , Safari ya Ukombozi bado ni ndefu sana .

    CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo . Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana . Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati . #free TL
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wana kitu inaitwa (Emotional Bonding) ,hii hasa ndo sababu ni ngumu single mothers kuacha kuwasiliana na Baba mtoto wake au X wake.

    Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure . Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,. Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
  17. A

    JamiiForums Tanzania Ukistaafu, staafu By Baba Askofu

    Kuna Askofu ame shauri kwamba Kiongozi akistaafu, basi astaafu kikweli kweli, sio mguu moja Ndani , mwingine nje, Kwani huko ninkulitakia Taifa shida au migogoro.
  18. JamiiForums Tanzania PICHA: Watoto wa Arnold Wamelelewa tofauti, mmoja kalelewa na baba yake mwingine na mama yake. Ona tofauti hapa

    Uzi tayari. Hitimisho: Single maza ndio chanzo cha kupoteza masculinity ya watoto wa kiume.
  19. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa kushangaza CCM, Ummy Mwalimu akitoswa, Baba Levo aula

    Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya majina makubwa kuachwa nje na sura mpya kuteuliwa. Katika mabadiliko hayo, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo VS Zitto Kabwe naomba qualification/CV zao

    Naomba qualification/CV zao. Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO. Sifa zingine: Baba LEVO ni CHAWA ZITTO ni mnafiki na opportunist.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…