Uzi umegeuka kuwa wa chuki zaa kikabila, haufai tena kuendelezwa
Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k.
Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa...