baba yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    Habarini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Baba yangu alichanganyikiwa au?

    Nawasalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi nimezaliwa familia ya kawaida tu, baba yangu alikuwa mwalimu ila aliacha kazi bila sababu za msingi. Nina dada zangu ila wote hawajafanikiwa kimaisha. Huyu baba tukimuulizaga kwanini hakujiwekeza ujanani na wakati alikuwa na uwezo...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake...
  4. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

    Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka), Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni...
  6. JamiiForums Tanzania Mke wangu hunitukania baba yangu tukiwa tendoni

    Habari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na atajirekebisha. Hiyo ndio kauli yake kila nikimuonya. Sijui na-deal naye vipi, hilo tisa, kumi ni...
  7. JamiiForums Tanzania Nakumbuka mwezi July nilimpoteza baba yangu

    Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu. Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu alimchukua mpendwa babangu na kuniacha nisijue thamani ya maisha kwa muda ule baada ya kukubali na kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…