baba wa taifa

  1. Pakome

    Zipo baadhi ya tabia ambazo Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alisema ni za kipumbavu ikiwemo Udini na Ukabila, Je kwanini tumeruhusu tena?

    Zipo baadhi ya tabia ambazo Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alisema ni za kipumbavu ikiwemo Udini na Ukabila, Je kwanini tumeruhusu tena? Lazima Tanzania turejelee upya kauli na maonyo ya Baba wa Taifa ili Tanzania ipone Katika tabia ambazo Baba wa Taifa aliziita ni za kipumbavu...
  2. N

    JamiiAI: Uwezo kwenye Utambuzi wa Picha ya baba wa taifa (nyerere)

    JamiiAI imeonesha kiwango cha juu cha usahihi, kasi, na uthabiti wa kimfumo katika utambuzi wa picha na uchambuzi wa historia ya taarifa, kama inavyothibitishwa na vielelezo (screenshots) vya mafanikio yake ya kiutendaji. Mfumo huu umefanikiwa kuchanganua taswira kwa undani mkubwa, kubaini...
  3. Mohamed Said

    Swali: Ukweli ni Upi Kuhusu Ukumbi wa Arnautoglo na Soko la Kariakoo Katika Historia ya Baba wa Taifa?

    https://youtu.be/uQTPRpBzetA?si=cFpDdErw3IxPlVfG
  4. Chizi Maarifa

    Historia adhimu ya baba wa Taifa la Zanzibar, Mwanzilishi wa Taifa huru Field Marshall John Okello. Akumbukwe

    MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon Etuku. Wazazi wake walifariki Akiwa bado mdogo na kulazimika kwenda...
  5. JanguKamaJangu

    Stephen Wasira amtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa, Februari 18, 2026

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.
  6. Mohamed Said

    Nani anahusika na kutunza kumbukumbu na Historia ya Baba wa Taifa?

    NANI ANAHUSIKA NA KUTUNZA KUMBUKUMBU NA HISTORIA YA BABA WA TAIFA? JIWE LA KUMBUKUMBU YA NYUMBA YA MTUMWA SULEIMAN ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE 1954 Mmoja kati ya wafuatiliaji wa Maktaba kanitumia picha ya jiwe linalotumika kama kumbukumbu kueleza nyumba ambayo alifikia Mwalimu Nyerere, Mtaa wa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Hayati Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa

    Mimi huwa sipindishi maneno. Yeyote yule akizingua nambadilikia. Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala. Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere. Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa...
  8. M

    Huu utaratibu wa kugawanya vyeo kwenye jeshi la Tanzania kati ya wabara na wazanzibari ni mzuri sana

    Awali nimekuwa nikichunguza mgawanyo wa vyeo katika taasisi ya ulinzi na kugundua kuna mgawanyo mzuri wa vyeo baina ya pande mbili/ Kwa mfano, katika safu za juu za uongozi wa majehi ya Tanzania, vyeo viwili vikubwa zaidi vinawakilisha pande zote za Muungano: Chief of Defence Forces anatoka...
  9. Mikhail Tal

    Kuna Tetemeko limepita Butiama saa 16:34. Je, ni ardhi ya Baba wa Taifa imechukia?

    Habari ndo hiyo wadau, sasa sijui ndo ishara hizo za kukinukisha.
  10. Kitimoto

    Maneno ya Baba wa Taifa Kuhusu Katiba na ya Rais wa Sasa Kuhusu Katiba Mpya

    Maneno ya Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere enzi za uai wake kuhusu Katiba: Manemo ya Rais wa sasa wa awamu ya 6, Mhe. Samia Suluhu Hassan
  11. DuaZaMama

    Lugete Gulu: Ukitaka kumuenzi Baba wa taifa usiwe na tamaa

    Lugete Gulu ambaye ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa amewakumbusha viongozi kuacha tamaa ya madaraka huku akibainisha kuwa wapo viongozi wanaomiliki rasilimali nyingi kuliko vipato vyao, ameyasema wakati akizungumza na Clouds Tv katika mjadala wa kumbukizi ya baba wa taifa Mwalimu Julius...
  12. Just Pray

    Taswira ya kuwasili nchini mwili wa baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Leo imepita miaka 26, sawa na miezi 312, wiki 1,357, siku 9,497, saa 227,912, dakika 13,674,730 au takribani sekunde 820,483,818 tangu tarehe 14 Oktoba 1999 — siku ambayo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alifariki dunia katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, London. Kipindi...
  13. DuaZaMama

    GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  14. Carlos The Jackal

    GE2025 Andrew Nyerere ampiga marufuku Rais Samia kuzuru kaburi la Hayati Mwalimu Nyerere kutokana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi

    Mtoto Mkubwa wa Nyerere, Andrew Nyerere Kwa niaba ya Wanafamilia, amechukizwa na Kitendo Cha Mahakama kutoitendea Haki CHADEMA. Andrew Kambarage Nyerere Asante umenyooka kama ilivyo! Tatizo hawa viongozi wa sasa wanataka kutumia legacy ya Mwalimu Nyerere kama hirizi iwakinge na hasira za...
  15. R

    GE2025 Salum Mwalimu: Baba wa Taifa alitufanya tuwe wajanja siyo wajinga

    BABA WA TAIFA ALITUFANYA TUWE WAJANJA, SIO WAJINGA Mgombe urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha viwanda vya kuchakata mazao yanayolimwa nchini hasa mkoani Arusha kunakotoka Vitunguu, na...
  16. L

    Video: Jinsi Baba wa taifa Nyerere Alivyoweka Msingi wa Uchaguzi wa Mgombea Rais wa CCM

    Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake. Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: 4R za Rais Samia zimeaksi tabia ya Baba wa Taifa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema falsafa ya 4R ya Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeakisi sawa sawa tabia ya Mwalimu Nyerere katika dhamira na namna ya kuliongoza taifa la Tanzania...
  18. GENTAMYCINE

    Iliyokuwa Tanzania ya Kuheshimika na Mfano bora kwa Nchi nyingi za Afrika ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere leo ndiyo imefikia hapa?

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya “AMKA TWENDE NA SAMIA 2025" wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  19. B

    PreGE2025 CHADEMA waipeleka 'No Reform, No Election' nyumbani kwa baba wa taifa

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa mara, Chacha Heche mapema leo amefika kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere akiwa na ujumbe wake wenye vielelezo vya matukio yaliyojitokeza katika chaguzi za TanzAnia 2019 - 2024 kuzungumza na familia ya Baba wa Taifa Mwitongo Butiama Katika taarifa aliyowasilisha...
Back
Top Bottom