baba mwenye nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya kujengewa nyumba yake, Mwenye Nyumba awaita maaskari wa Uhamiaji kuwakamata wajenzi waliojenga nyumba hiyo

    Mkazi mmoja wa Maryland nchini Marekani anadaiwa kusubiri hadi wafanyakazi wahamiaji walipowasili kuanza ukarabati wa nyumba yake kabla ya kuwapigia simu maafisa wa Uhamiaji na Forodha (ICE). Tukio hilo lililotokea mjini Cambridge lilirekodiwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na...
  2. Nimekumisi sana Baba mwenye nyumba wangu

    Leo nimekaa nimemkumbuka baba mwenye nyumba yangu, kipindi nipo chuo huko mkoa Xy nilikuwa mlevi sana na baba mwenye nyumba yangu alikuwa ni mlevi sana, lakini walevi wastaarabu, tuliivana sana, Sasa ilikuwa kila ikifika muda wa kodi lazima pesa nimpe siku ya ijumaa, nitamtegea muda yupo...
  3. Ukiona Baba mwenye nyumba anamuonea wivu house girl ujue tayari

    Kijana wangu wa boda boda kaangukia penzini na housegirl kwenye nyumba moja mtaa flani karibu na kwangu changamoto imekuja kujitokeza baada ya bodaboda huyu kuwa kimya muda kama wa siku nne hivi bila ya kuniletea hesabu but nikicheck chombo kwenye king'amuzi naona imepaki kwake but simu yake...
  4. T

    Kesho Tar 1 Baba Mwenye Nyumba nimpe Hadithi Gani? mbele ya Kodi yake!?

    Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa mpangaji mwenye deni!? Hapa napiga nimfate Nyumbani kwake nikalia maana yupo yeye na mke wake tu...
  5. Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

    Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11 Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
  6. A

    DOKEZO Waziri Gwajima, mwanamke huyu anafanyiwa ukatili na unyanyasaji kutoka kwa baba mwenye nyumba wake

    Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya tukio hili ni lazima nilitolee taarifa ili wahusika wamsaidie mwanamke huyo na jamii ijifunze...
  7. Usijenge tu ili nawe uwe na nyumba

    1. Usijenge tu ili uitwe baba mwenye nyumba Jenga mahali tambarare mahali ambapo gari, pikipiki na baiskeli vinaweza kuingia bila shaka. Usiwe na akili za watu wajinga kama waliojenga kwenye makorongo Keko, Mbezi, Kimara na Buza. Hizo locations nilizotaja aisee kuna sehemu hata baiskeli...
  8. Eliza Vs baba mwenye nyumba

    je faza house atatoboa au atakubali kadi nyekundu
  9. Baba mwenye nyumba na mpangaji (Confession)

    Mpangaji akimuongelea Baba mwenye nyumba, Mwenye Nyumba akimjibu Mpangaji Kazi kweli kweli!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…