Leo nimekaa nimemkumbuka baba mwenye nyumba yangu, kipindi nipo chuo huko mkoa Xy nilikuwa mlevi sana na baba mwenye nyumba yangu alikuwa ni mlevi sana, lakini walevi wastaarabu, tuliivana sana,
Sasa ilikuwa kila ikifika muda wa kodi lazima pesa nimpe siku ya ijumaa, nitamtegea muda yupo...