baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
  2. JamiiForums Tanzania Tafakari point moja baada ya moja ya utabiri wa neno la Mungu wa nyakati za mwisho.

    Mtasikia kuhusu vita vinanavyopiganwa na pia matetesi ya kuwapo vita vingine. Lakini msiogope. Mambo haya lazima yatokee na mwisho wenyewe hautafuata palepale. Mataifa yatapigana na mataifa mengine. Falme zitapigana na falme zingine. Utakuwepo wakati wa njaa ambapo watu watakosa chakula. Na...
  3. JamiiForums Tanzania Covid 19 mara baada ya Bunge kuvunjwa kuhamia CCM na ACT

    Hizi ndizo taarifa ambazo zinasikika kwenye mikutano yao kama ambavyo wahenga walisema hakuna siri ya watu wawili. Na hawa imekuwa ni ya watu 19. Wanaambiana mengi na wengine wanakuja kutuambia. Hasa sisi wenye mahusiano nao. Sitaelezea kwa kina maana mnaweza unganisha code mkaja jua mimi ni...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita?

    Huwa najiuliza ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita vya kwanza vya duni 1914 hadi 1918. Kumbuka tungekuwa nchi moja na Rwanda na Burundi. Je, tungetumia lugha gani shuleni. Kumbuka kingereza bado hakijaingia wakati huo ila Germany kwa maeneo machache. Kabila...
  5. JamiiForums Tanzania Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

    Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao. Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna nilivyotaka kujiua baada ya kukata tamaa ya kuishi

    Hivi karibuni nyuzi zangu nyingi zimekuwa zikielezea hali halisi ya maisha yangu. Moja wapo ya uzi uliokuja kuokoa maisha yangu ni ule wa..... www.jamiiforums.com/threads/hivi-ni-mimi-tu-haya-maisha-yanataka-kunikataa.2210301/ Na hii ni baada ya kukuta watu wawili walionionea huruma na...
  7. JamiiForums Tanzania CCM bila kujua Wanakuza Popularity Ya CHADEMA na Kuifanya iwe Juu sana baada ya Kupoteza Popularity kwa Muda Mrefu hii Haiko sawa

    Chadema Ina Mbunge Mmoja Bungeni kama Sio wawili Hiyo inafnya Kiwe ni CHAMA chenye Umaarufu Mdogo licha ya Kujitutumua na Kufanya Maandamano ili kupata Ridhaa ya Wananchi kukiamini Tena.. Kitendo cha CCM na Serikali kuanza kukizungumzia Kunafanya Vyombo vya Habari kuanza kukifatilia na Bahati...
  8. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo inda, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo. Mambo hivi sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

    Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango...
  10. JamiiForums Tanzania Japo vita vya Gaza vinakaribia ukingoni, Israel itaingia kidogo Rafah kuwaridhisha wahafidhina wa kiyahudi kama ilivyofanya baada ya kipigo cha Iran

    Makubaliano ya kusitisha vita huko Gaza baada ya miezi sita ya mapigano makali yamekuwa magumu kufikiwa baina ya Hamas na Israel. Hata hivyo kutokana na kuelemewa kwa Marekani na Israel na upinzani juu ya vita hivyo sasa kuna dalili za kutosha kuwa ukaidi wa Benjamin Netanyahu umefikia kikomo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Majuto Baada ya usaliti

    Wakuu habari. Kwanini Huwa Kuna majuto Baada ya usaliti katika ndoa pindi ndoa inapovunijika, hii ni kwa mwanamke au mwanaume kuwa chanzo. Teña hatari zaidi kwa mwanamke kudanyanywa na mchepuko kuwa ataolewa nae na asiolewe. #Wanajamvii ufafanuzi
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya elimu ikiwa hivi naiona Tanzania mpya baada ya miaka kumi na tano(15)

    Utangulizi, Sekta ya elimu Tanzania ndio inaandaa wadau wote wa maendeleo, Kila mmoja katika nafasi yake akijengwa kujua kitaaluma kuino nafasi yake katika maendeleo ya taifa kuna uhakika wa mabadiliko chanya katika katika sekta zote za kiuchumi Tanzania. Mapungufu ya sekta: Kwa bahati mbaya...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana wasomi wanapitia wakati mgumu maisha baada ya vyuo

    Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi. Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza...
  14. JamiiForums Tanzania Mataifa yatakayoendelea kuwapo baada ya vita ya 3 ya dunia

    Kaa chonjoo mwana JF Tumeshasikia sanaa maisha hayana formula kinaweza pulizwa Kipenga pyeee nyuma geuka, wa mwisho akawa wa kwanza na wa kwanza akawa wa mwisho. Tupo hapa bongo land tumerelax sana huku tukiyakandia baadhi ya mataifa kwamba hayana amani. What if hizi nchi zilizo kwenye vita...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwa msomaji miaka takribani 6 sasa nimejisajili rasmi JamiiForums

    WAKUU HESHIMA SANA KWENU: Nimekua msomaji humu jf miaka takribani sita ila now ni mwanachama haiiii..humu ni vile sijasomeka persnlty yangu kwa kuwa sikua rasmi ila character za members na vimbwanga vyao 97% nazijua kulingana na post zao kwa hiyo nina furaha kwa sasa nimekua mchangiaji pia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru

    30 April 2024 Morogoro, Tanzania Lissu : Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru https://m.youtube.com/watch?v=KqCykOZ1RMY Matendo ya serikali yetu Uasi wa 1964 majeshi Mwl. Nyerere aanzisha jeshi la wananchi wa Tanganyika sharti likiwa lazima...
  17. JamiiForums Tanzania Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

    "SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA" Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +. Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar...
  18. JamiiForums Tanzania Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

    Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri George Simbachawene atafaa Uwaziri Mkuu 2025

    Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini. Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…