Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha
Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa...