azam

  1. JamiiForums Tanzania Wazazi tuliogharamika kununua king'amuzi cha Azam tujuane hapa!

    Hii shana nimeshindwa kuielewa, Wizara inaanzisha utaratibu wa tuition kwa watoto kupitia runinga halafu badala ya huduma hiyo itolewe na Television ya Taifa wanaenda kugawa vipindi kwa Azam maanake nini? Au mimi sielewi jamani? Nilitegemea kipindi hiki cha hili janga Television ya Taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Azam & DStv punguzeni kidogo vifurushi vyenu kipindi hiki Cha CORONA.

    Wateja wenu wanapitia hali nguvu kiafya na kiuchumi, hebu punguzeni kidogo bei za vifurushi Kama sehemu ya kuungana na wateja wenu kwenye hili. Hii ni pamoja na makampuni ya simu za mikononi kwakuwa wateja wenu inawabiti kufanyakazi wakiwa majumbani kupitia simu au Internet. Msijifanye Kama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Azam TV na "Hekaya za Abunuasi" wapoteza mvuto kwa watazamaji kwa kwa kujiingiza katika "siasa"

    Nilikuwa natazama taarifa ya habari ya Azam saa mbili za usiku huu na katika habari za leo kuna habari mbili zilizopelekea mimi kuandika makala hii fupi ambayo ntaawachieni nyie kama wasomaji mfanye tathimini yenu. Habari ya kwanza (a) kampuni ya Azam kupitia Mkurugenzi wake (mmiliki) ametoa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Young Africans alia mchezo na Azam FC

    January 18, 2020 Dar es Salaam, Tanzania Azam 1 - Young Africans 0 Kocha wa mkuu wa Yanga mbelgiji Luc Eymail atokwa povu na kulia kufuatia vipigo ktk mechi mfululizo. Na matokeo ya leo Kocha Luc Eymail baada ya mechi ametoa tuhuma nyingi zikiwemo kupewa kadi ya njano, yeye kocha kufanyiwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Live ITV: Rais Magufuli anafungua Hotel ya Verde Azam Luxury Resort & SPA mtoni jijini Zanzibar inayomilikiwa na S S Bakhresa

    Ni tukio kubwa na la kihistoria kwani hii ni hoteli ya kipekee kabisa nchini Tanzania, Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara. Karibuni!
  6. JamiiForums Tanzania Wanachokifanya Azam Tv kwa kweli sio busara

    Azam tv nilitegemea wao wangekuwa watu smart kuliko kampuni zingine zote but kwa sasa naona wao ndio wamekuwa worse kabisa Nimelipa kifurushi tangu juzi kabla hakijaisha coz nilijua kinaisha jana, lkn mpaka leo hii pesa imekatwa na kisimbuzi hakionesha, hakuna taarifa yoyote, huduma kwa wateja...
  7. JamiiForums Tanzania Azam TV jirekebisheni kwenye suala la huduma kwa wateja

    Niende moja mwa moja kwenye pointi. Kampuni ya Azam Media ni kati ya kampuni ambazo zinahitaji marekebisho makubwa sana kwenye idara ya huduma kwa wateja. Kwanza kabisa mteja kwao si mfalme kabisa yaani wanatreat wateja kama vile wanatoa huduma yao bure. Ni siku ya pili sasa ukijaribu kulipia...
  8. JamiiForums Tanzania Wanayanga Tarehe 4 tusiende Uwanja wa Taifa tutaondoka na aibu ushauri tu, wajanja tukutane Azam

    Hali si nzuri najua wengi hawatanielewa Yanga ina hali ngumu nakwambia wachezaji wengi awachezi kwa moyo awajalipwa hela zao Mbaya zaidi majuzi GSM wameomba kulipa malimbikizo ya wachezaji uongozi ukalazimisha hizo hela zipelwkqw kwenye acc yao wao wataamua nn cha kulipia Ile ilikuwa na saini...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Huu ni udhaifu wa TFF kupandanisha timu ya taifa, Simba na Azam

    Watanzania wengi ni wapenzi wa michezo haswa Soka, lakini pia ni washabiki wa timu za taifa na vilabu vilevile haswa Simba, Yanga na Azam. Watanzania hupenda burudani ya mpira kwa kutazama uwanjani, kwenye Tv au kusikiliza redioni. Leo Novemba 23, Timu ya Taifa ya mpira wa miguu kwa upande wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tumzo Karugira wa Azam TV ni raia wa nchi gani?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Leo baada ya Mechi ya CECAFA WOMEN CHALLENGE CUP baina ya Djibouti v.s Uganda, Tumzo alimhoji mfungaji bora wa Uganda. Kumhoji mchezaji baada ya mechi ni suala la kawaida isipokuwa dukuduku langu limetokana na haya yafuatayo: 1. Tumzo alitumia lugha ya...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar dhibitini hawa street boys Forodhani Hotel, mtakosa mapato sana

    Nilikuwa wiki mbili Zanzibar niliyaona ni hatari sana kwa heshima ya Tanzania. Forodhani Hotel imejaa wahuni watoto wadogo street boys leo hii wanaona wazungu wamekaa wanaomba kila mtu. Haitoshi wanapigania chakula wanachopewa na wazungu, inahuzunisha sana. Wakati haya yakiendelea nje ama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya king'amuzi cha Azam

    Naomba kujua bei ya king'amuzi cha Azam TV, kwa Dodoma na Singida.
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo visimbuzi Azam na DStv

    Toka jana mchana visimbuzi au visimbusi? vya Azam na DStv vimegoma. Message ni ya aina moja. Smart Card haijakaa vizuri. Sijui kama kuna wengine wamepata tatizo hili na ufumbuzi wake umekuwaje.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mechi ya Simba vs Azam ilichezwa Taifa?

    Habarini wanajamvi, Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Azam ilihamishiwa Uwanja wa Taifa ilihali mechi za Simba zilikuwa zikichezwa Uhuru? Je, kuanzia sasa mechi zote za Simba zitachezwa Taifa? Naomba kufahamishwa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania!

    Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania! Leo wanaume wanacheza ...wengine make pembeni muone burudani murua! .... atakaye fanya kosa ndiye atakaye lia!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…