Hali imebadilika mwanzo wa hii operation Urusi ndio wakiionya Ukrain wanajeshi wake kujisalimisha lakini baada ya miezi 7 sasa Rais wa Ukrean Zelensky amekuja na kauli hii yeye kuwaambia wanajeshi wa Urusi wajisalimishe na hii ni baada ya Ukrean kufanikiwa kurejesha maeneo yake karibu kilimita...
Akitoa maoni yake Dr. Azavel Lwaitama mdau mkubwa katika harakati za kutafuta nchi yenye demokrasia iliyo stawi yenye maridhiano, umoja, uhuru na maendeleo amesikika huko Clubhouse kwenye mjadala wa moto unaohudhuriwa na watu wengi kuliko jukwa lingine lolote la kijamii.
Dr Lwaitama amewataka...
Aliyekuwa mwanajeshi wa SAS amewaasa raia wa kawaida wa Uingereza wakae nyumbani na watazame kwa umakini movies za 'Call of Duty' badala ya kusafiri kwenda Ukraine kupigana na majeshi ya Russia.
Phil Campion, mwenye miaka 53, alihudumu jeshini toka mwaka 1997, na akashiriki mapigano ktk kikosi...
Kinara wa ODM Raila Odinga na kikosi chake cha Azimio wamewaonya Wakenya dhidi ya kumchagua Naibu Rais William Ruto.
Waziri Mkuu huyo wa zamani alimtaja Ruto kuwa ni ‘Bw Promise’ ambaye anatumia ahadi ‘tupu’ kuwashawishi wapiga kura, na kukataa ahadi hizo baada ya kuingia madarakani.
"Yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.