awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chawa Philosopy: Serikali Awamu ya 6 inaweza kutoa tamko la kupiga marufuku kuwashangilia au kuwaenzi wastaafu wenye utumishi uliotukuka!

    Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii. Sitaingia katika sababu za kufikia hapo. Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda. Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inanuka damu za Watoto wetu

    Salaam Wakuu, Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki. Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu. Watu wakawa wanatema mate chini.. Yaani...
  3. JamiiForums Tanzania Huenda Dkt. Mwigulu Nchemba akawa waziri mkuu kwa awamu tatu mfululizo kabla hajawa Rais wa JMT 2040-2050

    Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia. Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na pasinashaka yoyote, Dr. Mwigulu Nchemba, atakuwa waziri mkuu katika vipindi viwili katika ngwe za uongozi wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mkuu wa wilaya Tabora aliyepewa ukuu wa wilaya na Magufuli kisha akatumbuliwa awamu ya sita alirudi kazini?

    Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
  5. JamiiForums Tanzania Nauliza tu wajameni, yule Mbunge aliebinuka bungeni kwenye meza, alirudi bungeni awamu hii?

    Hata simkumbuki jina...ila nikiwa hapa kanisani leo katika kanisa takatifu la kimitume katoliki parokia ya uparokiani Askofu anazungumzia jambo , anasema kua unaweza kua mtu mzima ila akili huna.. Ndio nikakumbuka tukio la mbunge aliechaguliwa Sasa sijui alichaguliwa na wananchi ama aliwekwa...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kwa afya ya Museveni hawezi kumaliza awamu hii ya Urais

    Anaonekana clearly hayuko fit, kifo anakijua Mungu ila kwa upate wa akili(mental fitness) hawezi kumudu kwa miaka miwili zaidi ijayo. Atapotea kwenye macho ya umma siku sio nyingi. I don't care much about Uganda politics, but since he and his insane son is number one supporters of killer Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Kila siku tunamsema Papa na Ukatoliki. Awamu hii tunatuma watu wakatubu kwake kweli?

    Asalam aleikhum wa rahma tulah wabalaqatuh! Kwa kweli nakosa la kusema. Nimeamini mfa maji heshi kutapata tapa. Imefikia tunatuma watu wakatubu na kupiga picha na Papa? Huyu huyu Papa ambaye miaka na miaka tunamtukana? Tena ni beberu hawa. Haya mabeberu yametuweka sehemu mbaya sana. Watu wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hii video ya jamaa anatishia polisi,ni mkakati mpya wa destabilization ya serikali ya awamu hii!!?

    Vuta picha maiti za polisi wameuawa barabarani au kambini mwao ziki trend Kwa mitandao zikifuatiwa na matamko kama hayo ya black mask huko mtandaoni! Hali itakuaje Kwa viongozi wetu ambao wamekua wakiwatumia polisi kama shielding ya matamko na power walizobeba kimamlaka dhidi ya wananchi...
  9. JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita Imeua au Inaminya Soko la Utalii Tanzania?

    Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Masasi – Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi tangu Awamu ya 5

    Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu. Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
  11. JamiiForums Tanzania Hii awamu inatafuta mkunaji

    Sijajua kama ni awamu ya sita au saba, ila nachojua ipo kama jike la hayawani lililopo kwenye joto. Inatafuta mkunaji ila haiko tayari kukunwa. Bado haijapata beberu sahihi kufanya hiyo kazi, maana mabeberu wanaojitoa wanapata changamoto isiyo kawaida. Nahisi yupo beberu mmoja anatafutwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa serikali feki awamu hii inatafuta Amani na kujisafisha mpaka mwisho wa madaraka utakapofikia

    Ukiingia kwenye vyombo vya habari vyao hakuna hata waziri mmoja anazunguza uwaziri wake kilicho muweka ,wote wanazunguka makanisani,misikitini na kuwatetea wasanii na raisi kuhusu amani. Hata siku moja sijawasikia wakisema Haki ,wao wapo na kuzungumza amani tu.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Morogoro Plot for sale 45M (negotiable) Malipo kwa awamu

    nauza plot yangu morogoro mjini lukobe. ilikuwa site ya ufugaji ina buildings sita including mabanda. Ukubwa wa plot ni 60×25 M². Malipo ni kwa awamu! nahitaji watu serious tu tafadhali. DM me whatsapp or piga 0762098871
  14. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anatakiwa kutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM

    Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM na vibaka wengine ndugu wa madiwani na wabunge feki wa...
  15. JamiiForums Tanzania Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: TEC wanapotoa matamko kuhusu utekaji & mauaji awamu ya Samia, kwanini hawakuyatoa wakati wanaongoza marais wasio waislam?

    Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC. Nitarudi na...
  17. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Safisha safisha Ngorongoro Awamu ya II: Makonda kupewa Maliasili na Utalii

    Mpango wa muda mrefu ni Makonda kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Kupelekwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadaye “kutengenezwa” kuwa Mbunge wa Arusha haikuwa bahati mbaya. Niwape tu taarifa Wamasai hasa wale mliokuwa mkifika kula nyama za Makonda kwenye matamasha yake: Inakuja...
  18. JamiiForums Tanzania Askari watahusika kuangamiza machawa awamu ya pili ya safisha safisha

    Nye Nye nyie! Bora Diamond aliamua kukimbia. Naambiwa hapa awamu nyingine ikitokea kuna wajuba machawa mashughuli watakula chuma huko majumbani wakikojificha kama yule sharifu majini aliyefuatwa kwake. Askari baadhi hawapendezwi na mitabia ya kichawa. Tayari orodha ipo bayana. Miye sijui walahi...
  19. JamiiForums Tanzania Hakuwahi kuapishwa mbele ya anaowaongoza. Awamu zake zote aliapishwa uchochoroni

    Mara ya kwanza aliapishwa baada ya kuokota dodo mchangani. Mara ya pili aliapishwa kwenye uwanja ukubwa wa netball. Rejected.
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…