aviator

An aircraft pilot or aviator is a person who controls the flight of an aircraft by operating its directional flight controls. Some other aircrew members, such as navigators or flight engineers, are also considered aviators because they are involved in operating the aircraft's navigation and engine systems. Other aircrew members, such as drone operators, flight attendants, mechanics and ground crew, are not classified as aviators.
In recognition of the pilots' qualifications and responsibilities, most militaries and many airlines worldwide award aviator badges to their pilots.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Aviator mchezo ulionipoteza kiakili na kifedha ila sasa nimeushinda

    Nataka kushiriki uzoefu wangu kama somo kwa wengine. Nilicheza mchezo wa Aviator, ambao walisema ni 'provably fair', lakini kwa kweli nilipoteza hela nyingi sana. Mchezo huu uliharibu hali yangu ya kifedha na kuniacha na pressure kubwa ya akili. Zaidi ya hasara ya pesa, niliona pia jinsi...
  2. P

    Aviator addiction; something I don't wish even to my worst enemy

    Sidhani kama Kuna addiction mbaya kama hii tangu nimezifahamu addiction. KUbaya zaidi kumtambua huyu mtu ni ngumu. Inamaliza watu mtaani
  3. S

    Aviator itanitoa roho, Tafadhali serikali ingilieni kati vijana twafa

    Hello guys, Moja kwa moja, kwenye mada naiomba serikali itusaidie sisi vijana kwa kuifungia mchezo wa Aviator. Vijana wa chuo wanashindwa kulipa ada kwa sababu ya aviator, hata kununua nguo kwa vijana imekuwa changamoto. Tafadhali serikali sisi hatuwezi bila msaada wenu. Mkitusaidia katika...
  4. Mad Max

    Achana na Aviator, kuna upuuzi mwingine unaitwa Plinko! Usijaribu aisee, utalia!

    Haya makampuni yanataka yawauwe vijana. Wamewapiga kwenye Aviator sasa naona ujinga mpya wa Plinko unaanza kushika kasi. Ukiona idea simple tu, achia kampira (kekundu) kapite kwenye izo maze then kaje kagonge izo ods chini, unapata pesa kulingana na stake uliyoweka na odds kimpira kimegonga...
  5. marcoveratti

    Aviator Casino Trick

    ANGALIZO > NJIA HII HAIKUBARI KWENYE AVIATOR ZOTE . Kabla hatujaenda moja kwa moja kwenye mbinu tuanze kwanza kuelewa Algorithm ya mchezo , Michezo mingi kama sio yote ya casino ime designiwa kuhakikisha kuwa casino inapata faida hinyo wanao cheza lazima wapate hasara kwa ujumla wao Mfano...
  6. S

    KERO Tafadhali Serikali fungieni mchezo wa AVIATOR, Mchezo sio fair na unaua ndoto za Vijana

    Habari zenu Ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye main point, Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%. Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
  7. SankaraBoukaka

    Ushauri kwa Bahati Nasibu ya Taifa ili Kuboresha Sekta ya Betting Ili Hela Zibaki Tanzania

    Sekta ya betting nchini Tanzania imeonyesha ukuaji wa haraka, hasa kutokana na ongezeko la michezo ya kubahatisha ya mtandaoni kama Aviator. Hata hivyo, bado faida nyingi zinatoka nje ya nchi, zikipelekwa kwa makampuni ya kimataifa, na hivyo kupoteza fursa kubwa ya kukuza uchumi wa ndani. Hali...
  8. S

    Kama kuna mtu bado anacheza aviator namhurumia

    Kama kuna raia bado anajinadi kuwa aviator inalipa namhurumia, hakuna siku utaweza kushindana na kompyuta. Huu mchezo huenda ulianzishwa kwa ajili ya kufirisi watu🙃😁.
  9. H

    Nimepoteza kila kitu kwenye Aviator, nakaribia kupoteza uhai pia

    Afya imeyumba Sana Uchumi sio tu umeyumba umepotea kabisa Madeni chungu zima!! Dah back in 2022 graph yangu ya maisha ilikua bora sana 💔💔💔💔 Sadly ndugu wanasema nimerogwa kumbe ni aviator Aviator aviator aviator aviator you are killing me and my generation 💔
  10. Damaso

    Aviator yampotezea Dismas Tsh Milioni 57 za kwenda kusoma Scholarship Uingereza

    Raia mmoja Mkenya amepoteza zaidi ya KSh2.8 milioni sawa Tsh Milioni 57 kwenye jukwaa la kamari la Aviator, pesa ambazo zilikusudiwa kufadhili masomo yake nchini Uingereza. Dismas Mutai, ambaye alikuwa amejiandikisha katika Chuo Kikuu cha Anglia Ruskin huko **London Uingereza**kwa kozi ya mwaka...
  11. Newcastle1234

    Advantages za Aviator Online Gaming over Forex Trading na Betting

    Forex Trading, Aviator Online Gaming (Kindege) na Betting ni vitu tofauti lakini concept na outcomes zake ni kutengeneza au kupoteza pesa. Ni psychological game ambayo inafanya kazi. Kwa kutumia Formula ya Fibonacci Sequence ( i.e 1,1,2,3,5,8,13,21....) ambayo inatumika kwenye Forex Trading...
  12. S

    Nimeliwa Milioni 2 kwenye Aviator

    NIMELIWA MILLION 2 KWENYE AVIATOR
  13. Mwizukulu mgikuru

    Aviator ni utapeli, wacheza kamari shitukeni

    Leo nimeujaribu huu mchezo nimegundua watu wanatapeliwa, ukweli ule mchezo huwezi kushinda pesa nyingi kama watu wanavyodhani, aviator imetengenezwa kwa ajili ya kula tu sio kuliwa😀😀. Leo nimetegeshea sh 100 nitaweka kwenye kitufe cha autobet Na kitufe cha autocash, cha ajabu kile kindege...
  14. political monger senior

    Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

    Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...
  15. C

    Upande usioujua kujusu Aviator Game (Kandege)

    Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...
  16. F

    Serikali fungieni mchezo wa kubeti wa Aviator (kindege), unamaliza vijana

    Huu mchezo kwa Jina 'Aviator' maarufu kindege umekuwa shida kubwa sana kwa vijana hasa watafutaji. Ukiingia kucheza au kuchunguza upande wa charting utaona vijana wanavyoliwa na kulaani huu mchezo ambao umewarudisha nyuma sana kimaendeleo na hata nimesikia kuna jamaa amejiua kwa kuliwa kiasi cha...
  17. Z

    Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5...
  18. Mstahiki Mea

    Aviator yatwaa tuzo 7 mfululizo 2023

    Kampuni ya kiteknolojia ya michezo ijulikanayo Kama sprible imeibuka mshindi wa tuzo 7 mtawalia kwa Mwaka 2023 baada ya ubunifu mkubwa walioufanya katika teknolojia ya michezo ya igaming. Baada ya ugunduzi wa mchezo mashuhuri wa Aviator Kujiunga Pmbet na kucheza Aviator tembelea tovuti ya...
  19. contask

    Ushahidi wa Aviator Hack

    Habari yenu wana JF, Nipo hapa kwa ajiri ya kutokea ushahidi katika uzi ambao niliutoa "AVIATOR HACK TRICK" wengi wao walikua wanakataa kua haiwezj kufanya kazi, kabla sijaendelea ningeomba kukujulisha au kukumbushwa kwamba katika hii dunia hakuna kitu kinachohusiana na kutengeneza pesa bila...
Back
Top Bottom