Moshi. Elice Matafu, Mkazi wa Kijiji cha Mrimbo Uuwo, Kata ya Mwika Kaskazini, Wilaya ya Moshi ameuawa kwa kukatwa shingo na watu wasiojulikana nyumbani kwake.
Mwanamke huyo ameuawa usiku wa saa 2 akiwa nyumbani kwake.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kuuawa kwa...