askofu

  1. Kanisa Katoliki Lawapa Mahala Pa Kuabudia Waumini wa Gwajima

    Katika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa Kawe. Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji...
  2. Askofu Kyando: Watanzania wameanza kusahau utu

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebius Kyando, ametoa wito kwa Watanzania kurejea katika msingi wa kuthamini utu wa binadamu kama nguzo muhimu ya ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Akizungumza kwenye mahafali ya 25 ya Taasisi ya Mafunzo ya Afya Lugarawa (LUHET) yaliyofanyika...
  3. Askofu Bagonza: Kwenye siasa ambako hakuna ITHIBATI, wenye elimu wamehamishia magodoro bungeni; wasio na elimu ndio wanachangia kila hoja

    Anaandika Askofu Benson Bagonza wa KKKT Karagwe, kwenye ukurasa wake wa Facebook. ==== FUNGA MDOMO, KALAMU, ROHO… halafu? Leo tumeamka na taarifa za kufungiwa kwa baadhi ya waandishi wa habari kwa sababu Bodi ya ITHIBATI imewatema. Eti hawana vyeti. Jamii yetu ina viroja: 1. Wenye vyeti...
  4. M

    Askofu Dkt. Benson Bagonza: Taifa ni la kufia, siyo kuua watu. Kama unalipenda jiue mwenyewe

    Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amewaonya wanaodai kuua watu kwa kisingizio cha kulitetea Taifa akiwaambia kuwa Taifa ni la kufia na siyo kuua watu, na kama kweli wanalitetea taifa basi wajiue wenyewe na si kuua watu. Ameyasema hayo wiki hii aliposhiriki katika ibada ya...
  5. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe!

    1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu? 2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe! Lucas Mwashambwa Isanga family ChoiceVariable Tlaatlaah DR HAYA LAND
  6. R

    Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

    Ruka juu shuka chini umekataliwa
  7. Amani Golugwa ajitokeza kusali na waumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Golugwa amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church...
  8. Mbowe anakuwa Sub ya Askofu Gwajima CCM

    Wakati fulani nyuma niliandika humu kuwa siasa za mwaka huu zitakuwa kama za Kenya ambapo Rais ataungana na kiongozi mkuu wa upinzani kwenye jukwaa moja kama Uhuru na Odinga walivyoungana. Nilisema Mbowe ataungana na Mama Samia na kuunda timu moja ya Kampeni wakati Lissu ataungana na Sukuma...
  9. Askofu Niwemugizi atengeneza bango la kukemea rushwa

    Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge wilayani Ngara Mkoa wa Kagera ametengeneza bango la kukemea rushwa kama linavyoonekana pichani.
  10. Kauli ya Jumapili na Baba Askofu Bagonza

    🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi.
  11. Namna watu walivyoupokea ujumbe wa Askofu Gwajima leo

    Habari ya muda huu wakuu, bila shaka walio wengi wetu wamepata fursa ya kumsikiliza Gwajima katika press conference yake , kwa ufupi baadhi yetu tumepokea ujumbe huu namna hii... ~Wengine wanamuunga mkono wakiona anagusa mambo ya msingi kama usalama na mageuzi ndani ya CCM. ~Wengine wanamkosoa...
  12. R

    SI KWELI Askofu Gwajima aomba radhi kwa viongozi wa Mamlaka zote husika na kuomba makanisa yafunguliwe

    Wakuu, Napata mkanganyiko hapa, naomba msaada nipate taarifa ya kweli kama Gwajima amesema haya maneno.
  13. Hayo makanisa 2,000 na waumini milioni 4 wa Gwajima wako wapi?

    https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali. Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama...
  14. GE2025 Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, akizungumza leo Julai 16, 2025 jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, amesema, "Nataka nisisitize kwamba mimi bado ni Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi na nitaendelea kuwepo" "Mara nyingi Watu wasiopenda mema, ukizungumza tu jambo...
  15. Huku Polepole atakuwa na Press Conference mara tena Askofu Gwajima nae atakuwa na Press Conference nyie endeleeni tu kutufanya Watanzania ni Fools

    Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu? Halafu nikiwaambia hamna Akili...
  16. Askofu Mwanamapinduzi: Kanisa la KKAM tulipokuwa tukisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara

    Naibu Katibu Mkuu wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, amesema Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) la Ubungo Kibo walilokuwa wakisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara. Waumini wa Ufufuo na Uzima walikiwa...
  17. Askofu Bagonza: Wafalme na Watawala wabaya ili wafanye watakavyo, huanza kwa kuchafua hekalu

    Askofu Bagonza akihubiri katika Ibada ya kuweka Wakfu Vifaa na Alama za Kanisa zitakazotumiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Mwanga, amesema. Wafalme wabaya na watawala wabaya ili wafanikiwe, huwa wanaanza kuchafua hekalu. Hekalu likishashachafuka na kudhoofika, unabii hukoma, na wafalme...
  18. L

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  19. Askofu Bugonza: Kizazi cha Gen-Z ni ngumu kutawaliwa

    Askofu Bagonza akiongea na vijana katika kogamano la Gen Z lililofanyika Dayosisi ya Karagwe
  20. RC Chalamila: Askofu Maboya alipendekeza niwe Shemasi wa Kanisa la Mwamposa

    RC Chalamila kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa amesema; Mwaka jana Askofu Maboya alipendekeza awe Shemasi wa moja ya Kanisa la Mwamposa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…