Nauliza tu kama askofu Gwajima atahudhuria kesho kisutu atakuwa amejivua uanachama wa CCM
Kesi ya uhaini maana yake Serikali ya CCM ilitaka kutolewa mahakamani 🐼
Miaka ile ya Mrema anagombea Urais nchi ilikuwa ya moto.
Askofu Kakobe alikuwa upande wa Mrema. Alikuwa wa moto.
Ghafla akaambiwa kanisa lake limejengwa kwenye njia ya umeme mkubwa, linatakiwa libomolewe.
Akaja kuachana na siasa na hataki kuisikia tena.
Askofu Gwajima (sauti ya wengi)...
Pia soma:
~ Askofu Zachary Kakobe yupo wapi? Hadi mwanae anadai hajamwona kwa miaka 2
~ Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe? Hajaonekana tangu Desemba 2021
Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe:
MAONI YANGU
Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini...
TAZAMA VIDEO YA SOMO CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA YA 666
Baada ya maombi ya Maaskofu na Wachungaji kadha wa kadha, wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo; jana Alhamisi 12.8.2021, akiwa ofisini kwake Askofu mkuu Zachary Kakobe amefundisha Somo muhimu, lenye kichwa, "CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA...
YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA
Kongamano lilianzia kwa maneno ya salamu za viongozi mbalimbali wa dini sawa na kusudi la kongamanona sambamba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.