Bado tupo sikukui ya Eid!
1. Ukitoa Wakatoliki ambao wao wanaenda kwa mfumo. Wanabebwa na Mfumo wao wenye nguvu. Jambo ambalo viongozi wa kisiasa hujifikiria mara tatu tatu wanapotaka kuwakabili.
2. Kwa Tanzania, ukitoa hao Wakatoliki wenye mfumo. Kwenye Dini, Gwajima ndiye Mtanzania pekee...
Miaka kadhaa iliyopita,
Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, alitoa wito kwa makanisi mbalimbali ikiwa ni paomoja na kanisa katoliki kwa ujumla, kutokumuheshimu kadinali Polycarp Pengo kutokana na misimamo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi isiyoyumba.
Gwajima alidai Kadinali...
MADHARA YA KUMWAGA DAMU ISIYO NA HATIA KULIKOFANYIKA KTK NCHI YETU
Baadhi ya Nukuu ktk hotuba hii:
Askofu Gwajima: "...Haiwezekani unamuona mama mmoja anaenda shambani au kwenye shughuli zake Kisha anapigwa risasi anakufa. Au baba mmoja yumo ndani ya nyumba yake tena uvunguni anafuatwa...
https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV
Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly yakiwalenga watesi wake - CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake...
Soma pia PreGE2025 - Askofu...
https://youtu.be/DQve6MgYYtU?si=gSHWEMj76INC8rxZ
Hatimaye tutamuona tena....!!
Baba Mungu wa mbinguni katika Yesu Kristo kampa Green Light ya kutoka na kuzungumza tena na Watanzania na ulimwengu baada ya kuwa ktk faragha ya pekee na Mungu Yehova kwa takribani miezi mitatu tangu tarehe...
Mwanzo 9:6 NMM
“.....Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, damu yake itamwagwa na mwanadamu, kwa kuwa katika mfano wa Mungu, Mungu alimuumba mwanadamu..."
Na Mungu si mwanadamu hata aseme uongo. Kila alichosema na kukiahidi hakika atatenda na kukitimiza maana yeye ni MUNGU wa HAKI
Wenye akili...
Isa 6:1-3 SUV
".....Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana, na pindo za vazi lake zikalijaza hekalu. Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya akiwa katika Kipindi cha mahojiano cha Medani za Siasa akijibu swali la Mwandishi wa Habari Edwin Odemba ikimtaka atoe maoni yake kuhusiana na Hoja na kauli za aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat...
Askofu Gwajima: Hebu CCM tumieni vichwa vyenu kufikiri na kuamua vizuri. Madai ya CHADEMA yana msingi hata kama una kiwango cha chini kabisa cha elimu kuyapima na kuyaelewa..
Askofu Gwajima: Hebu jaribu kufikiri hili. Kwamba, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya sasa ni mteule wa Rais Samia ambaye...
https://youtu.be/wTlcAdvtS90?si=M-MdUGulyP_bLNkx
Kufungwa kwa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima na onyo la mwisho kwa Samia Suluhu Hassan👇🏻👇🏻
https://youtu.be/k61Zm2GBR9c?si=8U10dcRJs5FdX31j
PART I
Anasema👇🏻👇🏻
➡Kuna watu hawajui yaliyotukuta wakati wa u - utawala na u - Rais wa John P. Magufuli...
1. Jumapili ya tarehe 1/6/2025 katika Ibada ya siku ya Bwana alitangaza mfungo wa siku 7 mchana kisha jioni unafungua kwa Aidha kunywa maji au chakula chepesi kama uji nk
2. Lengo la mfungo lilikuwa kuombea taifa, kuombea viongozi wa vyama vya siasa vyote, kuiombea serikali yetu na Rais Samia...
Wakuu!
Kesho Ibada ipo na itaongoza wa na Askofu Gwajima baada ya kutangaza ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwa atakuwepo kwenye Ibada ya Jimbo kuu la Dar es Salaam Jumapili Juni 15 na itaanza saa 4 Asubuhi
Pia, Soma
Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na...
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.
ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
Wakuu , hivi Askofu Gwajima yuko wapi? Toka usiku wa kuamkia leo alipoonekana akitoa update za wasiojulikana wanaojulikana kama polisi hajaonekana tena!
Je, wametembea nae?
Je, alichochora akapita katikati yao akaenda zake ? Ama namna gani ndugu zangu?
Askofu Mwanamapinduzi ametoa tahadhari kali kwa wale wanaojaribu kumjibu au kumshambulia Askofu Josephat Gwajima kufuatia kauli na hoja alizozitoa hivi karibuni, akisema si mtu wa kubezwa wala wa kuchukuliwa kawaida.
Katika kauli yake, Askofu Mwanamapinduzi amesema hoja alizotoa Gwajima ni...
Sasa yamewadia majira na nyakati za watu kupata majibu ni kwanini Mch Josephat Gwajima aliiamua kuingia kwenye siasa za tawala za nchi hii kwa 100% tena kupitia Chama Cha Mapinduzi - CCM uamuzi ambao kila mtu alishangaa na kusema lake...
Sasa umefika wakati wa kupata majibu yake...
Kutoka...
Ujumbe wote usikilize
Anasema, akisema kitu habahatishi. Ametumwa kuibadilisha nchi hii! Kwasasa mnaniona kama mchelemchele wa kwenye TV ambayo dish lake lililoyumba. Baadae mtanielewa
Hapa Rais William Ruto anaimbisha wimbo wa TENZI ZA ROHONI Na. 116 "Bwana u Sehemu yangu" Ikulu kabla ya kuanza kikao...
Ni katika kikao hiki alitamka rasmi kusema;
"...Watanzania, kama kuna mahali tumewakosea, mtusamehe maana si majirani na Biblia - Neno la Mungu Tazama ilivyo vyema ndugu...
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya mkoa huo kuchukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mwaka 2025.
Msimamo huo umetolewa siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.