Wanabodi leo mara ya pili nimepatwa na shida ndiyo nikajua kuna tatizo.
Nineamka saa 11 niwahi ofisini trafiki amekamata daladala yetu kisa dereva hakusimama kwenye zebra. Toka saa 12 hadi sasa hivi saa 1:30 tumekalishwa hapa wanamsubiria tajiri wa gari, vitu havieleweki kabisa.
Nashindwa...
Nitangulize kupongeza wote waliohusika kubadili utaratibu wa kutoza adhabu za vyombo vya usafiri barabarani badala ya ule wa awali ambapo mahakama pekee ndio ilikuwa inatoza.
Hakika, walikuwa na nia njema ya kuondoa usimamaji wa vyombo vya usafiri kusubiri hukumu ya mahakama.
Pamoja na nia...
Ni bora faini ziende serikalini, sio kwa yanayotokea njia ya Goba.
Kuanzia Massana Hospital mpaka Mbezi Mwisho ni aibu juu ya aibu. Mabasi yanasimamishwa makonda wanatoa hela wanaweka kwenye makaratasi na kugaia.
Shida sio tu kutoa hela. RTO hebu hakiki hili barabarani
Ukitokea Masana Hosp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.