asikitishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Jaji David Maraga asikitishwa na kauli ya Rais Samia

    Jaji mkuu mstaafu wa Kenya, David Maraga ameandika katika ukurasa wake wa X akieleza masikitiko yake kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Mei 4 wakati akimpokea Rais wa Kenya, William Ruto jijini Dar es Salaam. Endelea.... "Kama Jaji Mkuu, nilithamini udugu uliopo ndani ya Jumuiya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polepole asikitishwa na kada aliyefukuzwa uanachama kwa kukosoa mchakato wa kupata mgombea. Hoja haipigwi rungu

    Humphrey Polepole amehoji waliobadili utaratibu wa chama wametumwa na nani? Pia ameshangaa kuona mtu aliyehoji na kukosoa amefukuzwa.
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole kwa waathirika Kariakoo. Aagiza kufanywa kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi

    Rais Samia amesikitishwa na ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, Mkoani wa Dar es Salaam iliyotokea asubuhi ya leo Novemba 16. Pia, Soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 "Nimesikitika kupokea taarifa ya ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika Kata...
Back
Top Bottom