ashatu kijaji

Dr. Ashatu Kijaji (born 26 April 1976), is a Tanzanian academic and politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She is a Member of Parliament for Kondoa and Deputy Minister in the Ministry of Finance and Planning.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Ashatu Kijaji hiyo 'Doctorate' yako ni ya Ubobezi wa Uwongo au Kuchanganya?

    "Royal Tour ya Rais Samia imesababisha Hoteli zote Kubwa Dar es Salaam, Kilimayna Arusha kujaa kwa miezi Mitatu ijayo" Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji. Halafu GENTAMYCINE nawaulizeni nyie Viongozi wa Serikali hivi mnavyokuwa mnatudanganya kiasi hiki huwa mnadhani kuwa...
  2. Serikali Kufanya Mapitio ya Sera za Biashara Kwa Kuziboresha Kuwezesha Sekta Binafsi Kuchangia Uzalishaji Ajira Milioni 8- Waziri, Dr. Ashatu Kijaji

    Wanabodi, Nilihudhuria hii eventi Mshindi wa kwanza wa shindano la “STARTUPPER OF THE YEAR CHALLENGE BY TOTALENERGIES, Innocent Sule (mwenye Rasta ambaye picha yake pia inaonekana ukutani) wa kiwanda cha Soma Factories Tanzania Group ambao wanatengeneza mabegi ya shule yanye taa ya solar ya...
  3. B

    Sasa ni zamu ya Los Angeles. Ni Alhamisi 21 Aprili, uzinduzi wa pili wa Royal Tour

    SASA NI ZAMU YA LOS ANGELES. NI KESHO ALHAMISI, UZINDUZI WA PILI WA ROYAL TOUR. Na Bwanku M Bwanku. Baada ya Juzi Jumatatu Aprili 18, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan kuusimamisha Ulimwengu wakati akiongoza Uzinduzi wa Filamu Maalum ya Watanzania ya Royal Tour Mahususi kwa ajili ya Kutangaza...
  4. Uzinduzi wa matumizi ya anwani za makazi utaleta maendeleo

    Uzinduzi wa matumizi ya anwani za makazi Jijini Mwanza viwanja vya shule ya msingi Buhongwa B ambapo mgeni rasmi ni Spika Mstaafu na Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi Mhe. Anne Semamba Makinda.
  5. Dk. Ndugulile: Hongera sana Dkt. Ashatu Kijaji kwa kuteuliwa. Kazi Iendelee”

    Juzi, Rais Samia alifanya mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri kwa kutengua uteuzi wa mawaziri watatu akiwamo Ndugulile na kuteua wapya wanne ambao ni Dk Ashatu Kijaji, Dk Stergomena Tax, January Makamba na Profesa Makame Mbarawa. Ndugulile uteuzi wake ulienguliwa na nafasi yake...
  6. Mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali waapishwa Ikulu, Dodoma

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Mawaziri wateule wanne na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Mawaziri ni Dkt. Stergomena Tax Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, January Makamba Waziri wa Nishati, Prof. Makame Mbarawa Waziri wa Ujenzi na Dkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…