asali

Sohan asali (Persian: سوهان عسلی‎, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbagala kulamba asali kesho, kuanza kutumia mabasi ya mwendokasi

    Wananchi wa Mbagala Rangi Tatu Kesho mtaanza rasmi kutumia mabasi ya mwendokasi kutoka Mbagala Hadi viwanja vya Sabasaba yanapofanyika maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Dar es Salaam.
  2. JamiiForums Tanzania Lugalo walambishwa asali

    Shilingi Bilioni 4.4 zimetolewa na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya miradi ya ujenzi Lugalo, pia zaidi ya Bilioni 4.8 kwa utekelezaji wa miradi ya afya kwenye Idara nyingine za Ulinzi na Usalama ikiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Magereza.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Iko siku nchi nzima itakuwa giza kwa sababu ya kukumbatia walamba asali kina January Makamba

    Nasema hivi! Haiwezekani kuwa matatizo ya Tanesco yalikuwa sugu kiasi hiki Ni mwaka sasa na miezi tangu tuambiwe Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linaundwa upya na mitambo yake kufanyiwa ukarabati muda wa miezi miwili kwamba hatutaona tena kukatika kwa Umeme wala mtandao wa manunuzi ya...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  5. JamiiForums Tanzania Asali analamba Mbowe na Mabwanyenye wa CCM, sisi makabwela tunabaki tunaungua jua. Tujitafari sana makabwela

    Wanasiasa sio watu wema. Wanajaza matumbo yao. Hawashibi? Wanakula michango yetu. Wanakula kodi zetu. Leo hii Mbowe na Mabwanyenye wa CCM lao ni mpango mmoja tu kulamba asali. Makabwela tujitafakari sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe kauza utu wake. Hakutakiwa kukubali kulamba asali kirahisi namna hii

    Mwanaume unatakiwa kukubali mateso kama anavyokomaa Sabaya. Kwa nini unakubali kuuza utu wako kisa tu mateso?
  7. JamiiForums Tanzania Ninauza asali

    Ninauza asali Kwa Bei ya JUMLA tsh 6500tsh Kwa LITA. Bei hii ni Kuanzia Lita 20. Nipo Mbeya MJINI. Karibuni ndugu. Mawasiliano ya haraka...0679012499 Asali hii ni kutoka MPAKANI MWA MBEYA na TABORA.
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA mbona hamsomeki? Kulamba asali mnataka na harakati mnataka, mtapasuka msamba

    Naona mnapenda sana huku na huku. Boss wenu ameshalamba asali na ninyi mmeshalamba kwa ujumla maana yeye ndo Alfa na Omega. Sasa hizi harakati mnazotaka kufanya za nini? Au ndio mmezoea maharakati? 👇Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro
  9. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wetu Wanalamba Asali?

    Uongozi ni namna ya kushughulika na katatizo yaliyopo. Kipindi Cha Awamu ya Tano, ilijikita kushughulika na matatizo ya wananchi kwa kiwapelekea miradi mingi haswa ili wafaidi keki Yao. Miradi ya maji, umeme, barabara, hospital, elimu, n.k ndio ilikuwa kipaumbele. Wanasiasa walilia sana na...
  10. JamiiForums Tanzania Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana. Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

    Hivi asali wanazolamba zina nini?
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

    Ni collusion ya nguvu ambayo imeundwa na mtandao wa wanaCCM waliopo madarakani na wapinzani uchwara. Hii ni baada ya kuona hayati JPM aligundua mianya ya upigaji na akadhibiti ukusanyaji mapato. Kulamba asali ndio mtindo unaotumika sasa kukamua rasilimali za umma. Kwa nini hali inazidi kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe shida kubwa kwa WanaCHADEMA ilikuwa ni kulamba asali na wala sio maslahi mapana ya umma. Shida kubwa ilikuwa mpate mlo wala sio kutetea wananchi

    Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano! Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Utam wa asali haujawai kumwacha mtu Salama

  15. JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya Wabunge 19 kutimuliwa chamani, ahadi yao ya kupewa ulaji mkubwa na heshima kubwa ipo wazi ni suala la muda tu. Ni wazi Halima Mdee ni kiongozi wa kundi la wanawake walioamua kujipeleka Mjengoni pasipo ridhaa ya chama wala baraka za viongozi wakuu. Ni wazi pia...
  16. JamiiForums Tanzania IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wanyonge zamu yenu mlilalamika, zamu ya walamba asali mnalalamika. Tuwasiadiaje?

    Serikali ya wanyonge iliwaacha wanyonge na unyonge wao, serikali ya Kazi iendelee ambayo Sasa inatambulika kama ya walamba asali wanyonge Hali Tete. Niwaambieni kitu, hakuna kiumbe kinachoteseka chini ya jua kama kinyonge. Ni uamuzi wenu kuendelea kuwa mnyonge au kujiongeza kudai Haki Yako...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita mnajiwakilisha walamba asali

    Serikali awamu ya sita mmeeleweka vyema. Mko kwa maslahi yenu zaidi. Mnajiwakilisha wenyewe: Ninyi ni serikali ya walamba asali. Kwa kututelekeza na hili la mafuta kama ya lile la madhara ya Corona, wala msijisumbue kutafuta mitano mingine. Mlikotufikisha tambueni kuwa mtavuna mnayopanda...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kama Asali Feki inajulikana upesi kwa Mbinu hii je, Bange Feki inajulikana kwa Mbinu ipi?

    Asali Feki inajulikana kwa ama kutumia Njiti ya Kiberiti kwa Kuichovya katika Asali na Kuiwasha ambapo ukiona haiwaki jua ni Feki au unaichukua hiyo Asali unaimimina kidogo katika Karatasi na ukiona kwa chini ( nyuma ) ya hiyo Karatasi hakuna Unyevu au hakujaloana jua ni Feki hiyo na mrudishie...
  20. JamiiForums Tanzania Muungano miaka 58, tunalamba Asali!

    Watanzania kwa ujumla wetu Leo tunasherehekea miaka 58 ya Muungano huku tukilamba Asali ya Elimu bure, matibabu Bure (kwa watoto na wazee) pia fursa kufunguliwa za kibiashara duniani - US, UAE, EU, Malawi, Kenya, Uganda, Rwanda, Botswana, Russia na Burundi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…