Kutoka kwa nzi ambao wamejulikana kwa kusambaza magonjwa na kuwa kero kubwa kwa jamii, hadi kuwa viumbe wanaozalisha asali,hili linaweza kuwa mabadiliko yasiyoweza kuaminiwa, lakini tafiti za kisasa zinatoa dalili za mabadiliko makubwa ya kijenetiki.
Ikiwa mabadiliko haya yataendelea, je, dunia...