arumeru

  1. Kubwjing

    Kuanza juzi helicopter ya jeshi inafanya doria Arumeru, ila leo haipoi Aisee

    Asalaam Aleykhum Warahmatullah.. Leo hii kuna doria ya Jeshi yaelekea kuna wahalifu wameshawatukia, kwasababu inapita kimo cha chini na ni muda wote tangu asubuhi mapema Ni maeneo ya Mt. Meru kuelekea Tengeru Hata hivyo jana Wananchi Tengeru, Morombo na Ngaramtoni waliandamana wakidai...
  2. Waufukweni

    GE2025 Mwenezi CCM, Arumeru: CCM hatujahusika kuwaambia msishiriki Uchaguzi, wanaohamasisha kutoshiriki wamepewa uraia huko nje

    Mwenezi CCM, Arumeru Magharibi amesema CCM hatujahusika kuwambia msishiriki uchaguzi, wanaohamasisha kutoshiriki wamepewa uraia huko nje.
  3. Just Pray

    Atundikwa juu ya mti bila nguo na kupigwa fimbo 70 kisha kubanwa sehemu za siri kwa koleo la kuhasi mifugo akituhumiwa kuiba mahindi

    Kijana William Mbise (28), mkazi wa Wilaya ya Arumeru, Kata ya King'ori, Kijiji cha Kirenga, amepoteza maisha kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuchapwa fimbo 70 kama adhabu ya kimila iliyotekelezwa na vijana wa rika lake wa kabila la Kimeru, kutokana na kutuhumiwa kuiba mahindi yaliyokuwa shambani...
  4. W

    GE2025 Joshua Nassari alitaka tena Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM

    "Sasa nafikiri imefika muda ni wakati wa uchaguzi na mwaka wa uchaguzi na mimi nimewiwa kuzisikiliza sauti za watu wa Meru. Nimezisikiliza kisawasawa kwahiyo nimedhamiria na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya kiti cha ubunge Jimbo la Arumeru...
  5. Just Pray

    GE2025 Ezekiel Mollel achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Ezekiel Mollel naye amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi. Mollel ambaye pia ni mwalimu amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025, na Katibu wa CCM Wilaya ya Arumeru, Kamila Kigosi.
  6. S

    KERO TANESCO Arumeru Kwa siku umeme unakatika hata mara 20, leo umeukatwa tangia asubuhi taarifa mlitoa lini?

    Huku Arumeru umeme ni mateso vitu vimeunguzwa mpaka watu wamekata tamaa, kwa siku umeme unakatwa hata zaidi ya mara 20. Leo wameukata tangia asubuhi bila kujua tatizo ni nini. Ni hujuma tunafanyiwa? Huu ni mwaka wa uchaguzi kuna watumishi wa umma wanaihujumu serikali na wasiwasi huyu meneja wa...
  7. Roving Journalist

    Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT, Shangwe Ayo achukua fomu ya ubunge wa Arumeru Mashariki

    Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo Chikala amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Arumeru Mashariki. Shangwe amechukua fomu kwenye ofisi za Jimbo la Arumeru Mashariki zilizopo Tengeru Arusha, leo tarehe 18/05/2025.
  8. F

    UBUNGE ARUMERU MAGHARIBI PAMEANZA KUCHANGAMKA

    Waraka mkali na kinyang'anyiro cha Ubunge Arumeru Magharibi warushwa kwenye makundi sogozi. Bado miezi michahe pakuche.
  9. S

    KERO TANESCO ARUMERU kwanini mnatukomoa kutukatia umeme bila taarifa?

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati alielekeza TANESCO kuwa kama kuna matengenezo toeni taarifa kabla. Ni jana tu tulikuwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati hapa Arumeru mkoani Arusha, leo mnaamkia kutukatia umeme, mlitoa taarifa wapi? Riziki zetu inategemea umeme, kwanini mtukatie...
  10. TODAYS

    TAARIFA MUHIMU: Kama ni Mwenyeji wa Arusha kuna bodaboda wa Kibaha amefariki, ndugu zake wanatafutwa

    Pichani anaitwa Kevin Charles. Jina la maarufu hapa kibaha maili moja anaitwa Masai. Ni kijana mzaliwa wa Arusha alikuja kibaha kwa harakati za kutafuta pesa KELVIN CHARLES alipata ajali ya pikipiki na kufariki dunia kipindi anakimbizwa katika hospital ya Tumbi majuzi Jumatatu jioni. Mpaka...
  11. Just Pray

    PreGE2025 Wananchi Arumeru Magharibi wasema mbunge wao ni mzigo, ameshindwa kutekeleza ahadi ya ujenzi wa barabara

    Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu MBUNGE wa eneo hilo kuwa mzigo kwa wananchi hao kwakushindwa kutekeleza ahadi yake ya Ujenzi wa Barabara...
  12. Waufukweni

    Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto

    Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
  13. Mindyou

    Wananchi wa Arumeru waishukuru Serikali kwa kusambaziwa majiko ya gesi kwa punguzo la asilimia 50

    Wakuu, Inaonekana mambo ya nishati safi yameendelea kushika kasi hapa nchini Wananchi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa mradi wa usambazaji na uuzwaji wa majiko ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku ya 50% Wametoa pongezi...
  14. Suley2019

    LGE2024 Arumeru Mashariki: Chama cha ACT Wazalendo chadai kushinda Wenyekiti Kata ya Leguriki

    Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki. ACT Kura 528 CCM Kura 417 Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha Nkoasenga. PIA SOMA - LGE2024 - Arumeru: Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Seela Sing’isi waenguliwa...
  15. S

    TANESCO Arumeru manyunyu kidogo tu ya usiku umeme umezimika mpaka sahizi?

    Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi. Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na...
  16. JanguKamaJangu

    DOKEZO Arusha: Wananchi wadai kutozwa Sh. 2,000 ili wapite barabarani Arumeru, wawekewa kizuizi chenye misumari

    Watumiaji wa barabara iliyopo Kata ya Oldonyowasi, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, wamedai kuwa wakiwa wanapita na usafiri wa magari na pikipiki katika barabara hiyo wamekuwa wakitozwa shilingi elfu mbili (2,000) kwa kila siku ya jumamosi na kuelezwa kuwa fedha hizo ni kwa ajili ya ukarabati wa...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Arumeru: Wagombea CHADEMA Mbuguni waenguliwa, huenda wakasusa!

    Wakuu, Eh kususa tena! Ujumbe wa Lissu kuhusu kujipanga upya utakuwa haujawafikia? Bado tu hawaelewi wakisusa wenzao wala? ===== Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya mbuguni wilayani Arumeru kupitia mwenyekiti wake, kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao. PIA SOMA - LGE2024 -...
  18. Waufukweni

    LGE2024 Arumeru: Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Seela Sing’isi waenguliwa kwa kuto dhaminiwa na kutokujiandikisha orodha ya Wapiga Kura

    Wakuu Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X ameanika taarifa hii kutoka huko Mkoani wa Arusha "Arumeru Mashariki Wagombea wa ACT Wazalendo katika Kata ya Seela Sing’isi...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Arumeru: Inasemekana Kata ya Poli Mtendaji wa Kijiji kaogopa kubandika matokeo wa wagombea waliopita, wananchi wamefurika, polisi wa ghasia wafika

    Wakuu, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii ACT Shangwe Ayo kupitia ukurasa wake wa X ameweka taarifa hii, inaonekana hali sihali huko; "Arumeru Mashariki Kata ya Poli Mtendaji wa Kijiji cha Poli kaogopa kubandika...
  20. S

    KERO TANESCO wilaya ya Arumeru Kikatiti kwanini mnatunyanyasa? Hatuna umeme tangu asubuhi

    Kikatiti wilaya ya Arumeru leo tumekuwa tukikatiwa umeme tangia asubuhi kuna nini? Sahivi tuko gizani, what's going on? Tunaomba umeme vinginevyo tupeni taarifa kuna nini. Soma Pia: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?
Back
Top Bottom