arsenal

An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    FT | Arsenal 0-2 Man City | Fainali Kombe la Carabao | Wembley | Man City Bingwa!

    Leo katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Kombe la Carabao. Arsenal (The Gunners) dhidi ya Manchester City (The Citizens). Arsenal mara ya mwisho kubeba Kombe ilikuwa msimu wa 2019/2020 hivyo wana miaka sita bila Kombe. Je, leo watatwaa Kombe hili ama tabu kuendelea? Mchezo huu...
  2. secretarybird

    Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL haya yatatokea.

    Endapo Arsenal itatwwa ubingwa wa EPL mambo mengi yanaweza kutokea/kubadilika. Haya 👇ni baadhi tu. 1. Paul kagame atakuwa kibonge maana Arsenal ndo club aioendayo duniani. 3. Mashabiki wa manjesta unaited watazidi kukonda japokuwa uwezekano wa wa kumaliza kwenye top four ni mkubwa kwao. 4...
  3. Mad Max

    Arsenal inanitesa. Mapenzi yananitesa. Mi nitakua mgeni wa nani?

    Aisee hii timu muda wa kunifariji yenyewe ndio inanitesa.
  4. Khanji kapoor

    Arsenal atachukua EPL kwa tofauti ya Point moja tu Manchester City

    Wakuu Mimi ni mkali wa correct scores kwenye mikeka hata ofsini kwangu wananiita Messi wa mikeka Toka huu mwezi uanze Kuna intuition imekaa ndani yangu ikiniambia kuwa Arsenal atabeba ubingwa wa EPL 2025/2026 kwa tofauti ya Point moja tu niliwahi kumtabiria Leicester city January na...
  5. Pdidy

    PASTA HANANJA MASHABIK WA BARCELONA NA ARSENAL TUNAOMBA MAOMBI YAKO USIKU HUU WENGINE KITANDA HAKILALIKI

    BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU AMEN KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO AMEN
  6. PAYE

    FT | Arsenal 1-0 Chelsea | Carabao Cup | Nusu Fainali – Mkondo wa Pili | Emirates Stadium

    Kipa Robert Sanchez alifanya makosa yaliyosababisha mabao mawili kati ya matatu ya Arsenal katika mechi ya kusisimua ya mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Carabao lakini Alejandro Garnacho alifunga mabao mawili na kuiweka Chelsea bado kwenye mchuano. Arsenal wanaingia wakiwa na faida...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Full Time: Arsenal 2 - 3 Manchester United | EPL | 25 Januari, 2025

    Mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza kati ya Arsenal na Manchester United umeamalizika kwa ushindi kutoka kwa mashetani wekundu Man United wa goli tatu kwa mbili.
  8. Mad Max

    Ila Arsenal dah!

    Naona kabisa hawataki kuchukua kombe.
  9. Mad Max

    Arsenal wananipima uwezo wa kuhandle stress au?

    Naona dalili zote za kupata pressure. Yaani vitu vingine unaweza ukalia. Okay muda bado upo ngoja tuone.
  10. Scared

    Ukweli usemwe Sasa hivi duniani hamna timu Bora kama Arsenal

    Hamtaki kusema ukweli hii ndio timu Bora duniani imagine imecheza games 3 kubwa wiki Moja na imepata point 7 muhimu gunner to the world
  11. Mad Max

    Weekend nyingine mbaya kwa Man City na Liverpool. Huu mwaka wa Arsenal. Period!

    “Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta. Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “ -Kuna mlevi anaongea hapa. Nimemnukuu.
  12. DuaZaMama

    Arsenal kusitisha uhusiano wake na 'Visit Rwanda' mwishoni mwa msimu wa 2026

    Baada ya miaka nane ya nembo ya Visit Rwanda kupamba bega la jezi za Arsenal, klabu hiyo litangaza kuwa itasitisha mkataba wa udhamini na Visit Rwanda ifikapo mwezi Juni 2026. Hata hivyo, ushirikiano huu haukupita bila changamoto. Makundi ya haki za binadamu yalieleza wasiwasi kuhusu kuhusishwa...
  13. Damaso

    Vivienne sio Mtanzania: tuwe na tabia ya kuheshimu mipaka ya Utaifa na Jitihada za wengine

    Kumekuwa na wimbi jipya katika mitandao ya kijamii wiki hii, likimhusisha binti mahiri wa soka, Vivienne Theresa Upendo Lia, ambaye baadhi ya Watanzania wameanza kudai ni “Mtanzania” kwa sababu tu jina lake lina sauti ya Kiafrika ama kibantu. Lakini ukweli ni tofauti kabisa. Vivienne ni...
  14. Damaso

    TANZIA Mshambuliaji wa Chichester City, Billy Vigar, afariki dunia akiwa na umri wa miaka 21 baada ya kupata jeraha kubwa la ubongo

    Billy Vigar, a former Arsenal academy player, has tragically died aged 21. Vigar was placed into an induced coma after suffering a serious brain injury whilst playing for Chichester City last weekend. Our thoughts are with his friends and family at this time. RIP Champ 😔 =============...
  15. DuaZaMama

    FT' Liverpool 1-0 Arsenal, Liverpool ya moto, Ushindi wa tatu mfululizo EPL

    Timu ya LiverpoolFC imeitandika Arsenal kwa Goli 1-0 katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) kwenye Uwanja wa Anfield, leo Agosti 31, 2025. Goli pekee likifungwa na Dominik Szoboszlai raia wa Hungary katika dakika ya 83. Hivyo, Liverpool imefikisha alama 9 baada ya kushinda mechi 3...
  16. PLOII

    Kwa 100% bingwa wa EPL ni Arsenal NBC wana Lunyasi bado, MO ana Drama sana kasajili nini? Anavuna asipopanda na ngojera ya 87B

    Habari Wana Sports, Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu. Imagine Victor yupo pale mbele left Kuna TEMINADO SAKA right MADUEKE. Declan Rice anakichafua Dimba la chini na juu pale...
  17. Nyanda Banka

    Arsenal itaua watu

    🚨🔴⚪Shabiki wa Arsenal aitwaye "Marg" (au kwa jina jingine "Man"), ambaye aliapa mwaka wa 2015 kwamba hatanyoa ndevu zake hadi Arsenal itakaposhinda UEFA Champions League. Hadi kufikia August 05, 2025, bado ana ndevu za kuvutia, kama za simba, bado anaheshimu ahadi hiyo ya 2015-bila kujali ni...
  18. Waufukweni

    Mashabiki wa Arsenal Kenya wafanya party kusherehekea usajili wa Viktor Gyökeres

    Wakuu! 😄 Mashabiki wa Arsenal kule Kenya wameamua kupiga party ya nguvu kusherehekea usajili wa mshambuliaji hatari Viktor Gyökeres!
  19. Scared

    Hivi Liverpool Manchester united na ipi timu kubwa yenye pesa na makombe mengi

    Hizi timu huwa zinanichanganya ipo kubwa yenye pesa. Na makombe mengi Sasa hivi wakuu
  20. The Humble Dreamer

    Thomas Partey, Mchezaji wa zamani wa Arsenal akabiliwa na mashitaka ya ubakaji mara tano na shambulio moja la kingono

    Salaam Members! Thomas Partey, mchezaji wa zamani wa Arsenal, afunguliwa mashtaka ya ubakaji mara tano na shambulio la kingono moja, imetangazwa na Huduma ya Mashtaka ya Umma (Crown Prosecution Service). Kesi hii kubwa imeiacha klabu ya Ligi Kuu ya England (Premier League) ikikumbwa na...
Back
Top Bottom