archduke

  1. S

    Nipo Njia Panda, Nipeni Mawazo yenu!

    Poleni na majukumu ya Kila siku ndugu Tatizo lililonileta hapa ni kuhusu mahusiano yangu na binti mmoja yupo kidato cha sita na mimi nipo chuo naingia mwaka wa mwisho! Huyu binti nimempata miaka Miwili iliyopita na mpaka sasa tunapendana kweli, na tunatamani kuwa baba na mama siku moja ila...
Top