app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kuchat moja kwa moja na madaktari wabobevu ukiwa na App hii

    Hello bosses... Napenda kuwakaribisha kwenye App ya Afya Mingle Afya Mingle - Apps on Google Play ambamo utaweza kuchat moja kwa moja na madaktari wabobevu. Madaktari wetu ni Professional Medical doctors wenye leseni. Tunazidi kuwasiliana na madaktari bingwa wengine ili uweze kuwapata ndani ya...
  2. JamiiForums Tanzania App gani naweza kuitumia kutuma sms nyingi kwa wakati mmoja?

    Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
  3. JamiiForums Tanzania Subtitle kwenye app ya movie box

    Habari za mida waungwana,kuna mdau mmoja niliona alirecomend app ya movie box kwamba ni nzuri na simple, ni kweli nimeikubali ipo vzr, shida ipo kwenye subtitles huwa kuna baadhi ya movie subtitles huwa sinachelewa au inakuwa mbele yofauti na tukio husika,nimejaribu kucheki namna ya kuadjust...
  4. JamiiForums Tanzania Wadau njooni tuziondoe hizi App za mikopo

    Kwakuwa mamlaka husika zimeshindwa, basi nataka vijana wapigania maendeleo tuziondoe hizi app za kitapeli. Niliwapigia Simu TCRA wakasema hawahusiki niende polisi. Njia za kuziondoa hizi app ni simple tu, kama una nyumba hujamalizia basi watahusika kumalizia, kama huna boda boda basi...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni app ambayo ina biblia ya kikatoliko

    Salam wanaukumbi Nimejaribu kuperuzi playstore kupata biblia ya kiswahili yenye vile vitabu vya ziada (Tobiti, Wimbo ulio bora, Baruku, Hekima ya Suleiman, Judith, etc) Mwenye kujua jina tafadhali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Njoo na ideas jinsi ya ku sort out changamoto zinazozikumba jamii kwa kutengeneza app na system

    Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana. Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana ideas na .Kuna mwenye Idea ila hajui kutengeneza sasa lengo la huu ni kuwakutanisha hawa wote...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App

    Habari za muda huu wakuu, Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi) Kwa muda wa miezi miwili sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Cricfy Tv and onstream app

    Habari wakuu!!Wanasema kizuri kula na wenzio!! Kama wewe ni mpenz wa kustream online hizo app mbili hutakiwi kukosa kwenye list zako Onstream hii ni kwaajili ya kustream movie na series ni app moja nzuri sana na unaweza tumia kwa android or smart box yeyote ya kusupport android..Binafsi nilikua...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wa jamii Forum kuhusu App na website yao

    Kwema wakuu KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi. 1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications. 2. Kwenye recently post zina jirudia rudia hata kama tayari umeshaisoma yaani inabdi ukiisoma itoke ila cha...
  10. JamiiForums Tanzania Mlionunua vitu 'tunza app' mnisaidie

    Hello guys, mimi ni mtanzania mwenye kipato cha chini, nimeona Vodacom M-pesa app kuna kipengere wameanzisha cha kununua bidhaa kwa kulipia taratibu TUNZA APP nikaona huenda ni jambo zuri maana zipo bidhaa nazozitaka ila siwezi kulipa keshi. Je kuna wadau humu ambao mmefanikiwa kununua bidhaa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Funga au Ondoa Programu Tumizi (App) usizotumia au zilizopitwa na wakati ili kuimarisha usalama na kulinda taarifa zako Mitandaoni

    Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati 1. Programu Endeshi Android: Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’ > Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’ 2. Programu Endeshi - iOS...
  12. JamiiForums Tanzania Vodacom hizi simu zenu za mikopo kwa kuzuia App za kubetia mmenikosa

    Tangia mwaka jana mmekuwa mkituma meseji zikinialika kutembelea duka la Vodashop lililo jirani nami ili nijipatie simu janja. Baada ya mwaka mzima wa meseji hizo kuwa kero, niliamua leo kutembelea duka na kuchukua simu yenu ili muendelee kufaidika na biashara yenu ya unyonyaji. Simu mnayouza kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Matumizi Ya Google Earth App Kwenye Biashara ya Viwanja na Mashamba Tanzania na hatua za kuitumia

    Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi. Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
  14. JamiiForums Tanzania Wale wa iPhone 16 tupeane Apps mbalimbali zinazopatikana bila kulipia Apple store

    Tupeane app mbali mbali ambazo n ngumu kupata bure apple store 1.Youtube downloader 2.Music 3. nk nb: Sina iphone 16 waungwana msije mkajaa makasiriko
  15. D

    JamiiForums Tanzania Msaada ni app gani huwa mnatumia kutype documents kwenye simu??

    Wakuu kwema. Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV. Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc. Naomba kujua pia changamoto zake na jinsi ya kuzitatua. Nawasilisha.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimesahau password ya app store nofanyaje

    Wakuu nashindwa download application baadhi baada ya mim kusahau password ya app store nifanyaje ili niweze kupata password
  17. JamiiForums Tanzania Inatumia node is na mongo db, au Laravel na mysql, au vyote kwenye app zako za flutter au react native, toa maoni Yako.

    Ipi ni tekinolojia nzuri kwako kulingana na factor hizi 1. perfomance 2. Hosting cost 3. Maintenance Moderator edit tile inatumia node Jana mongo db...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Anayejua namna ya kukomesha huu wizi wa Swift fund app naomba anisaidie

    Kuna hii app ya mikopo ya online, inayoitwa Swift Fund, hawa ni wezi kabisa.. Unakopa, wakati wa kulipa wanakutumia link, unalipa, na Deni lako linaendelea kuwepo, hakuna kinachobadilika! Unamaliza deni, wa naendelea kukusumbua kila siku, na kila siku anakupigia mtu mpya, wanakuchafua kwa...
  19. JamiiForums Tanzania BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  20. JamiiForums Tanzania App zetu za mikopo umiza mmezifanya nini tena wazee?

    Ah wapi! Sitoi salamu Serikali mbona mnatunyanyasa asee?. Mnataka sisi hela za nyagi tuzitolee wapi? Jamaa tumeshawazoea kupigizana kelele mikwara kibao. Leo nimeamua kutafuta bifu na bahari pesa miksa finiloan naona zote zimefungiwa. Kalaga Baho
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…