app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania App / Link ya kuicheki game online

    Wakulungwa naomba msaada tajwa hapo juu tafadhali
  2. N

    JamiiForums Tanzania MIXX BY YAS, DSE waja na mini app ya hisa kiganjani

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas Bi. Angelica Pesha akizungumza wakati wa hafla ya ushirikiano wa kimkakati kati ya Mixx by Yas na DSE ambapo pia walizindua mini App ya DSE 'Hisa Kiganjani' inayopatikana kwenye super App ya Mixx by Yas. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE Bw. Peter...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini JF hamkopi kwenye App za mtandaoni?

    Nawashangaa sana. Kuna Hela Huku halafu nyie mmelala tu hadi mnataka kujiua sababu ya ugumu wa maisha. Sajili Line Mpya kabisa kisha itumie ku download Hela
  4. JamiiForums Tanzania TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

    TZ Mobile Number Lookup ni aplikesheni inayokuruhusu kutambua papo hapo opereta wa mtandao wa simu anayehusishwa na nambari yoyote ya simu ya Kitanzania. Ingiza tu nambari, na programu itaonyesha opereta. Programu hii ni nyepesi na ya haraka.Ni chombo muhimu kwa mtu yeyote anayehitaji...
  5. JamiiForums Tanzania Wadau, App Gani Mpya Inahitajika Bongo au ni wazo gani la App umewahi kuwa nalo? Shusha Idea Yako Hapa!

    Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani. Pengine idea...
  6. JamiiForums Tanzania App tano unazotakiwa kuwa nazo kama mfanya biashara

    Kama wewe ni mmiliki wa biashara ndogo, kuna apps ambazo ni lazima uwe nazo kwenye simu yako. App hizi zinaweza kukuokolea muda, kukuongeza ufanisi wa kazi pamoja na kukurahisishia maisha ya kila siku kwenye biashara yako. Nakuwekea list ya app hizi tano ambazo hautakiwi kuzikosa kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania App za biashara

    Habari Mimi ni kijana mpambanaji App gani kwa sasa nzuri za kuuza na kununua bidhaa mtandaoni Mfano kupatana
  8. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo kama muajiriwa mpya ambaye sijakidhi vigezo vya kukopesheka benki?

    Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka nina shida na kiasi fulani cha pesa, mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hivyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess. Nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Je unaijua Afya Mingle App?

    Hello bosses and roses.... Afya Mingle App ni suluhisho lako kwa mambo ya Afya na Mahusiano. Ni app pekee hapa Tanzania ambayo inakuwezesha kuwasiliana na madaktari wabobevu lakini pia kupata mchumba unaeendana nae. Tunajali sana faragha za watumiaji wetu na ndio maana hata kwenye kipengele...
  10. JamiiForums Tanzania Idea gani ya app unatamani iwepo Tanzania mpaka sasa hujaiona?

    Nkimaanisha idea gan app ya KITANZANIA unatamani kuiona ila bado hujaiona
  11. F

    JamiiForums Tanzania EXIM Bank Mobile App yenu inaboa sana!!!

    Kwanza niwapongeze Kwa huduma zenu nzuri !!! Kwahilo mko viruzi namaanisha Hamna makato ya ajabu ajabu kama baadhi ya bank nyingine hapa inchi !!your good guys kwahilo!!! Tatizo lipo kwenye mobile App yenu!! .Nashida nimoja TU!!! Mnataka Kila mwezi mteja wenu abadili nywira yani password Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania My thoughts on the next great app idea in tanzania

    The Next Big Thing in Tanzanian Agriculture? An App Connecting Farms to Forks Tanzania's agricultural sector is the backbone of its economy, employing a vast majority of the population and feeding millions. Yet, the journey from farm to consumer is often long and fraught with inefficiencies...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada Kwenye Whats App

    Habari wakubwa WhatsApp ya ndugu yangu imekuw Blocked msaada tafadhali kama inavyoonesha hapa chini
  14. JamiiForums Tanzania Winga APP business idea!

    Habari wataalam!. Kama title inavyojieleza hapo juu, nimepata wazo la app ambayo itasaidia wafanyabiashara wa mkoa na dar ata nje ya TZ kwa ujumla kununua bidhaa kwenye soko la kariakoo bila kutapeliwa na winga . Hii itasaidia wafanyabiashara wengi kupunguza gharama ya kuja Dar kununua bidhaa...
  15. JamiiForums Tanzania Jifunze Mobile App Development kwa Kutengeneza Project Mbalimbali!

    Karibu kwenye darasa letu la mobile app development! Hapa tutajifunza React Native kwa vitendo, tukijenga project 4 halisi kwa wiki moja moja. Jiunge na group letu la Whatsapp na upate uzoefu wa kweli katika kutengeneza apps. Jiunge na group letu WhatsApp hapa: WhatsApp Group Link
  16. JamiiForums Tanzania Grok AI sasa kupatikana kama App ya kawaida.

    Baada ya DeepSeek kuleta changamoto sasa Elon Musk kaamua Grok kupatikana kama Application ya kawaida, ambayo itapatikana kwenye App store zote.
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu META wamepita na account yangu ya WhatsApp Business

    Kwakuu hii ni ban ya muda au wamefuta kabisa... Dah hapa kichwa kinawaka hela yangu imeenda hivi hvi
  18. JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Dar Nakuhitaji Unisaidie: Natengeneza App Itakayosaidia Watu/Wageni Wa Dar Wasipotee

    Habari wana Ndugu, Nilishawahi Kupotea Dar Nina Pesa Mkononi,Naona Daladala Zinapita Lakini Sijui Nipande Ipi Ili Nifike Ninapokusudia Ghafla Paap! Naona Mdada Kasimama Mimi:Mambo Samahani Dada (Huku Nikiwa na Kiaibu cha Kuuliza Ofkoz Kuna Kiaibu fulani Ukiwa Unauliza ) Hivi Hapa Nikitaka...
  19. JamiiForums Tanzania Je, App ya Biashara ya Vipuri Kama BeForward kwa Soko la Tanzania Itafanikiwa au ni Kupoteza Muda?

    Nina wazo la kuanzisha App ya B2B Multivendor ambayo itawaunganisha wauzaji wa vipuri vya magari na wanunuzi nchini Tanzania, kama vile BeForward, lakini kwa soko letu la ndani. App hii itawawezesha wafanyabiashara wa vipuri kuorodhesha bidhaa zao, na wanunuzi wataweza kutafuta vipuri kulingana...
  20. JamiiForums Tanzania Miliki Sasa App/Site ya Kuuzia Digital Files Online - File Moja Uza kwa Wengi

    Want to own an app/site for Selling eBooks, PDFs, Magazines, Exams, Photos, Drawings, Music, Software, and More to thousands of customers online? We offer a ready-to-use web system that you can fully own! 📲 +255 657 685 268 🔥 Powerful Features Included: ✔ Instant Payments & Downloads –...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…