Anne Semamba Makinda (born 26 July 1949) is a Tanzanian politician and the first female Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office from 2010 to 2015.
She was the last Chairman and the first President of UNICEF at the international level from 1993 to 1994.
Spika mstaafu wa Bunge, Anne Makinda, amesema Watanzania wamezidi maneno badala ya vitendo, akiwataka kubadili mtazamo huo kwa kuiga mfano wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu na mbunge wa Ismani, marehemu William Lukuvi kwa kutanguliza kazi.
Akizungumza leo...
YAH: UTEUZI WA WENYEVITI WA BODI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-
(i) Mhe. Anne Samamba...
SPIKA mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,amewataka wanawake katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wajiandikishe,wagombee nafasi za uongozi na kwenda kupiga wasipofanya hivyo itakuwa imekula kwao kwani ushindi ni hesabu.
Makinda ambaye pia ni Kamisaa...
National Assembly Speaker Anne Makinda declared in the House yesterday that Finance Minister Mustafa Mkulo and his deputy, Pereila Ame Silima, have failed to answer a question on the success of privatisation policy.
She made the declaration after the two ministers had tried to avoid a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.