angani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ahukumiwa kwa Kupiga Punyeto mara tatu mfululuzo ndani ya Ndege ikiwa angani inakata Mawingu mazito

    Abiria wa shirika la ndege la Southwest Airlines aliyeshutumiwa kwa kupiga punyeto mara kadhaa wakati wa safari ya ndege kutoka Seattle kwenda Phoenix mwezi uliopita amehukumiwa kifungo cha siku 48 gerezani, waendesha mashtaka wa serikali wamesema. Antonio Sherrodd McGarity, (34) mkazi wa...
  2. Urusi huenda imebakia na nguvu ya mashambulizi kutoka angani tu, ardhini pumzi imekata?

    Mimi binafsi sipendi vita, na katika vita vya Ukraine sitaki kushabikia upande wowote kuhusu mauaji, japokuwa siungi mkono kabisa uvamizi wa kijeshi wa Russia katika nchi ya Ukraine kwa kuwa ilitosha mgogoro huu kumalizwa kidiplomasia. Nilihisi na hata kutamani kuona Urusi ikimaliza tukio la...
  3. S

    North Korea 'yasemekana' imefanya jaribio la kombora la balistiki lililolipukia angani

    North Korea 'inasemekana' imerusha leo hii kombora 'linalodhaniwa' ni la balistiki, ambalo limelipukia angani, muda mchache baada ya kurushwa. Hayo yamezungumzwa na South Korea. Cheong Seong-chang, mtafiti mwandamizi ktk Taasisi ya Sejong ameiambia AFP kuwa dalili zaashiria kuwa jaribio la leo...
  4. S

    Kim Jon-Un: Ktk miaka 5 North Korea itarusha na kuweka angani setilaiti nyingi za kijeshi ili kuchunguza shughuli za kijeshi za Marekani

    Rais wa North Korea, Kim Jong-Un, ameweka wazi kuwa ndani ya miaka 5 North Korea itafunga angani setilaiti nyingi za upelelezi ili kukukasanya na kupata taarifa ndani ya muda muafaka zihusuzo vitendo vya kijeshi vya Marekani na washirika wake wawili, South Korea na Japan. North Korea imefanya...
  5. E

    Ni kwanini angani kuna baridi kali?

    Naomba kuelewa unajimu huu... Ni kwa nini angani kuna baridi sana ilhali kila unapopanda juu ndio unavyozidi kulisogelea jua ? Jana maafisa wa usalama wa anga wa Uholanzi wamesema wameshindwa kumuelewa Mkenya aliye survive baridi la kufa mtu angani akiwa kwenye kijumba cha tairi la ndege...
  6. M

    CHADEMA wakubali kuwa wamekuwa wakikosea sana

    Kuna mambo ya ajabu sana unaweza usiamini yaani leo ukikutana na kijana wa Chadema na kumwambia mama vipi maneno yatakayo mtoka mdomoni uwezi kuyaandika. Na ukimuuliza JPM vipi atakwambia kwa sauti ya chini afadhali ya JPM alikuwa vizuri. Ukiendelea kumsikiliza unaweza ukachanganyikiwa. Mi...
  7. Kuna rocket imetumwa huko angani ikagonge mwamba unaohatarisha kugonga dunia

    Dart: Mpango wa kulishambulia jiwe kubwa la Dimorphos linalokaribia kugonga dunia wazinduliwa 23 Novemba 2021 Imeboreshwa 24 Novemba 2021 CHANZO CHA PICHA,NASA / JHUAPL / STEVE GRIBBEN Chombo cha anga za juu kinachotarajiwa kugonga jiwe moja kubwa linalokaribia dunia kwa kasi kimezinduliwa ...
  8. Kitu cha ajabu chaonekana kikiwa angani jana jioni

    Sijui ni mimi pekee yangu na jirani zangu wawili ambao ndiyo tulikishudia chombo hicho, ama ilitokea pia kwa watu wengine. Ilikuwa jana yapata saa moja jioni, giza ndiyo kwanza limeingia, ile tu natoka nje ya geti la uzio wa nyumba yangu kwenda club kuangalia pambano la soka kati ya Liverpool na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…