Wakuu habari za mida hii,
Naomba kwenda kwenye maada tajwa hapo juu:
Namtafuta mtu huyu kwa Jina lake halisi ni Peter Mwakatundu nimepotezana nae miaka kadhaa nyuma, kwa kumbukumbu ya machache ninayokumbuka.
Tuliwahi abudu pamoja nae kwenye kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), pale...