Huyu jamaa bwana Amos Makala ndiye aliyekuwa mastermind wa ujenzi wa project ya CHAUMMA. Pia ndiye aliyeratibu Lissu afunguliwe uhaini.
Hakuishia hapo. Pia Project ya kuengua viongozi wa Chadema ndiye aliyeisimamia.
Kwa ufupi sana baada ya kumaliza kazi amerudishwa alipotolewa. Kwa uhakika...
Ndgu wapendwa
Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
ahmed ally
ali kamwe
amosmakala
anthonmy mavunde
diamond platinumz
dotto biteko
eng. hersi said
gsm
josephat msukuma
juma aweso
mirlad ayo
mo dewji
paul makonda
proffesional driver
zito kabwe
Naomba nisisitize, kwa utaratibu wetu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mpaka sasa hakuna mtu ambaye ameenguliwa au kukatwa kama ambavyo inaripotiwa kwenye Vyombo vya habari. Nimeona wameandika huyu kapenya au huyu kafyekwa, huyu hayupo tatu bora- Kama nilivyosema mchakato huu wa uteuzi utahitimishwa...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema jumla ya wanachama 4,109 wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao kupitia chama hicho.
Akizungumza leo akiwa Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Makala amesema:
"Kwa takwimu...
Amos Makalla katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) anazungumza na waandishi wa habari.
https://www.youtube.com/live/HklC_qQvjgU?si=qzSVQt19PHc5ohRC
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema jumla ya wanachama 4,109...
Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makalla, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha kwenye mikutano yake kila akisimama anasema sera za chadema.
Huu ndo ukweli mchungu CCM wote kama...
Wakati CCM ikijinadi kuwa na wanachama milioni 13 nchi nzima, hali kwa ground sio poa. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu ameandika barua na kuwataka watumishi wote wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya mwenezi wa CCM, mzee wa MPOX ndugu Amos Makala itakayoanza leo...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla akisimikwa Kuwa "Mbokeleni" - Jina la Kichifu kwa Waluguru.
"Mbokeleni" - jina la heshima la kichifu kwa jamii ya Waluguru.
Hafla hiyo imefanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Morogoro, chini ya uongozi wa machifu wa...
Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema!
Hii ni kejeli
CCM YAMJIBU JAJI...
Naona mashitaka dhidi ya Lisu yamejikita kwenye mambo mawili; kwamba amesema uongo na pili uhaini.
Kwanza, kusema uongo; kama kweli serikali ya Tanzania ina umakini wa kiasi hicho kuhusu wanasiasa kusema uongo, iweje Amos Makala hadi leo yupo nje anadunda tu baada ya kauli zake za kusema...
Hongereni sana CCM kwa kufanya ziara ya kwenda mkoa wa Lindi kupangua hoja zote za kitoto zilizotolewa na Tundu Lissu katika wilaya ya Ruangwa, Nachingwea, Mtama, Kilwa.
Kule Nachingwea Bw.Lissu amechafua sana hali ya hewa, ametukana sana viongozi yeye na mwenzake Lema.
Lema amemchafua sana DC...
Amos Makala akipokea wanachama waliotoka CHADEMA na kujiunga CCM Mbeya leo tar 27/03/2025
CPA Amos Makalla Katibu wa NEC Siasa, itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM amegeuka mwiba kwa CHADEMA.Ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyejipambanua kwa uongozi...
CCM sasa ni dhahiri, haina sera za kuwaunganisha wananchi wote.
Kwa sisi makada wa siku nyingi, Unifying Ideology kwa wanachi wote wa Tanzania, tena wa rika, jinsia au misimamo ya kisiasa yoyote, CCM lazima iwaunganishe wananchi wote.
Zamani tulikuwa na hata matembezi ya mshikamano, iliyokuwa...
Kama kuna kauli za hovyo zilizotolewa katika kipindi hiki, basi hii ya CCM imekua too much na imepitwa na wakati to the maximum.
Tungekua tumekwenda shule na tukaelimika basi CCM sasa hivi angekua uswahilini anatafakari kilimo cha migomba. Lkn uswaiba umetujaa na ndio maana Makolo bado yupo...
Wakuu,
Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke?
Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya inaondoa the fact kwamba Makalla ametamka upuuzi huo?
Pia soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka...
CHADEMA inamshutumu Amosi Makala ikidainalieleza Uma kuwa CHADEMA ina mpango wa kununua Virusi vya kuangamiza Wanachama wa CCM.
==========
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeagiza wanasheria wake kuwafungulia mashtaka, waliohusika kusambaza taarifa zilizodai kuwa CHADEMA...
"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29.
Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla ameitaka Chadema kuacha visingizio vya kulalamikia wagombea wake bali iseme ukweli kuwa haikufanya maandalizi kuingia katika Uchaguzi wa serikali za mitaa.
Pia, amesema chama hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.