amber rutty

  1. Mi bishoo tu

    Wapi alipo mwamba Amber Rutty?

    Video vixen amber rutty kapotelea wapi?
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

    Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa kumualika Amber Rutty kama Mgeni rasmi na kuongea na Wanafunzi. Pia soma > Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

    Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile. Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
  4. BabaMorgan

    Amber Rutty ni mwanamke jasiri (Bravely Woman) kuwahi kutokea

    Kwa asilimia kubwa kwenye maswala ya mapenzi wahanga wakubwa ni wanawake. Siku chache zilizopita nilikuwa nacheki Tv kipindi kilikuwa cha burudani miongoni mwa wageni wa siku hiyo alikuwa Amber Rutty ambaye aliambatana na mume wake kiukweli walikuwa wamependeza Sana na walikuja kuachia kazi yao...
Back
Top Bottom