amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari na watu wanafiki, wanaohubiri amani lakini ni vinara wa Kuua Amani

    Amani haipotei kwa siku tendo la siku moja bali ni malimbikizo ya mambo mengi kwa muda mrefu. Siku zote, wananchi wa kawaida huwa siyo wasababishi wa kupotea kwa amani. Kila mahali ambapo amani ilipotea, wasababishi wakubwa huwa ni watawala au watawala waliofarakana. Ni vigumu sana mwananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani hapa Afrika naweza kwenda kuishi kwa amani?

    Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki.. Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wenye Hekima Wanaongea Kuhusu Haki, Machawa Wanaongea Kuhusu Amani Bila Haki.

    Siku zote, wenye akili, wenye hekima na wenye dhamira njema ya kutatua tatizo lolote, wanapogundua kuna tatizo, hutafuta chanzo cha tatizo, kwani ukikidhibiti chanzo cha tatizo, tayari unakuwa umetatua matokeo yake. Wasio na akili wala maarifa, wao hutazama matokeo. Watabakia kuhangaika na...
  4. JamiiForums Tanzania Amani na utengamano wa nchi yetu. Ushauri kwa TEC

    Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church.. Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

    Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha. Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana. Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale. Ndugu zangu...
  6. JamiiForums Tanzania Lissu sio Mhaini, haya mabango yanapaswa kubandikwa nchi nzima, nayapataje na mimi nibandike? Makamanda tubandike

    Makamanda haya nayo hatuwezi bandika? hii ni simple binafisi nayapataje nibandike? Lazima wajue hatutanii sasa. Hii tunaweza ifanya.
  7. JamiiForums Tanzania Nabii Clear Malisa: Amani ya Tanzania isitetereke kisa tamaa au Siasa

    Nabii Clear Malisa wa Kanisa la Kingdom Embassy ametoa onyo kwa watumishi wa Mungu, wanasiasa na Wakristo wote nchini kuhusu umuhimu wa kutunza amani ya Tanzania, akisisitiza kuwa amani hiyo haipaswi kutetereka kwa sababu ya tamaa au siasa. Akizungumza wakati wa Sikukuu ya Pasaka, Nabii Malisa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Haki na Amani ni kitu kimoja

    kwa sasa hoja kubwa nchini ni HAKI kwanza kabla ya Amani, mimi ninakubaliana na hilo popote pale kama hakuna haki automatic Amani haipo. Wana falsafa wote enzi za kale walihubiri Haki kisha Amani. Koran na Biblia mitume wote wilihubiria Amani . Sisi waislam dhana muhimu kabisa ni HAKI na vivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Haki na Amani Vina Msigano wa Asili

    Wakuu, Heri Ya Ufufuko Wa Roho, Mwili, Na Nafsi Kutenda Haki kunaweza kuleta Amani au Kinyume chake kwa sababu hivi vitu viwili vinathibitisha nguvu ya kila kimoja. 1. Ukitenda haki unaweza kuleta amani au vurugu kutokana na aina au kiwango chakuridhika kwa upande kinzani 2. Ukidai uwepo wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania sisi tumesema no reform no election viongozi wa ccm wanatabiri vurugu mbona kila kiongozi anasitiza amani

    no reform no election sio vurugu wala nini kichatakiwa hapa ni mabadiliko
  11. JamiiForums Tanzania Wakatoliki ni watu Intellectual sana : Asante askofu Pisa, Je ni nani anaevuruga amani?

    Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru. Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi… Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense. Ni nani anaevunja amani ; anaedai...
  12. JamiiForums Tanzania Hongereni TEC Kwa Tamko lenu , HAKI HAKI HAKI ndio msingi wa Amani, Mkipuuzwa, Itisheni Maandamano, Mimi ni Msabato, ila Nitawaunga Mkono !

    Ninafuraha sana na Tamko hili la TEC , Moja ya Tatizo kubwa la Kanisan langu SDA, ni UKIMYA . UKIMYA hata kwenye masuala ya HAKI, DHULUMA. TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila...
  13. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM tunahubiri amani kwa sababu ndani yake kuna haki

    MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika amani ndani yake kuna haki, hivyo Chama kitaendelea kuihubiri kuhakikisha inapatikana haki. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Dodoma alipokuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya AMANI imeanza kumalizwa nguvu baada ya watu kuuliza na HAKI je?

    Katika propaganda effective ambayo serikali ya CCM iliifanya kwa watanzania ni kusisitiza sana amani. Ni kama kampeni makhsusi iliyopangwa maalumu kwa ajili ya kuwadebwedesha Watanzania. Kipindi cha Mkapa ilikuwa, kila kiongozi mkuu akisimama kuongea, lazima atupie neno amani na utulivu. Hata...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani Yatishia Kujiondoa Kwenye Mazungumzo Ya Amani Ya Ukraine Na Urusi

    Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi ndani ya siku chache zijazo endapo hakutakuwa na dalili za wazi za kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano. Urusi ilianzisha uvamizi wa moja kwa moja dhidi...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu wetu leo kasema “Hakuna amani bila haki”

    Katika misa ya Alhamisi kuu leo Askofu wetu aliyeongoza misa, katika salamu zake za siku ya alhamisi kuu amesema “Tuendelee kuombe nchi yetu iwe na amani,kwa sababu uwepo wa amani ndio unafanya tunapata nafasi ya kuabudu kwa uhuru kiasi hiki, lakini wakati tunaiwazia amani tuhamasike...
  17. A

    JamiiForums Tanzania US Embassy: Matukio ya hivi karibuni ya kisiasa yanaibua wasiwasi kama Tanzania itaweza kuandaa uchaguzi wa amani.

    Baada ya kimya kirefu tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, leo ubalozi wa Marekani hapa nchini umetoa tamko kuhusu hali ya kisiasa na wasiwasi wake mkubwa kwa serikali ya Tanzania kuhusu matukio ya hivi karibuni ya kuminya demokrasia na ukandamizaji kwa vyama vya...
  18. JamiiForums Tanzania Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
  19. JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89

    Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89. Inahusisha kutumia lugha ya matusi, ugomvi, au kuleta fujo zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Iwapo watapatikana na hatia, wahalifu wanaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi sita, bila chaguo la kulipa...
  20. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Utawala wa Sasa watu wengi hawana amani pesa ipo kwa wachache na mfumuko wa bei uko juu

    Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali. Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…