Alphonce Felix Simbu (born 14 February 1992) is a Tanzanian long distance runner who specialises in the marathon. He competed in the marathon event at the 2015 World Championships in Athletics in Beijing, China. He finished 12th with a time of 2:16:58.He competed for Tanzania at the 2016 Summer Olympics in the men's marathon. He finished 5th with a time of 2:11.15. He was the flag bearer for Tanzania during the closing ceremony.He won the 14th edition of the Mumbai Marathon on 15 January 2017. The same year he won the bronze medal at the 2017 World Athletics Championships Marathon with a time of 2:09:51.
In 2019, he competed in the men's marathon at the 2019 World Athletics Championships held in Doha, Qatar. He finished in 16th place.In June 2021, he qualified to represent Tanzania at the 2020 Summer Olympics where he secured 7th place with a time of 2:11:35.He won a silver medal at the 2022 Commonwealth Games in the men's marathon event.
Zawadi ya nyumba aliyopewa Alphonce Simbu na Rais Samia Suluhu Hassan imeibua mjadala mpana, ambapo kwa upande mmoja inatafsiriwa kama ishara ya kutambua na kuthamini mchango wake katika kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia ushindi wake wa kihistoria kwenye mbio za Marathon, lakini kwa upande...
Alphonce Simbu amefungua ukurasa mpya wa celebrities katika Taifa letu.
Kwa muda mrefu nilihuzunika kuona jamii ikishereheshwa na wanamuziki, wasanii wa filamu na komedi kiasi kwamba watoto wetu wakaanza kujifunza kuwa ukitaka ufanikiwe basi inabidi uwe kama Mwijaku au Baba levo au Kingwrndu...
Mwanariadha bingwa wa dunia wa Marathon mwaka 2025 Alphonce Simbu, akiwasili katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam, katika sherehe ya kupongezwa kwa kuleta Medali ya dhahabu ya mashindano ya dunia
Sherehe hiyo iliyoandaliwa na Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda amempongeza Sajini Alphonce Simbu kwa ushindi wa medali ya dhahabu katika Mashindano ya Mbio za Marathon ya Dunia Kilomita 42, zilizofanyika Tokyo Japan.
Pamoja na pongezi hizo, Jenerali Mkunda amempandisha cheo kutoka Sajini kuwa Sajinitaji...
Mwanzoni mwa mwaka 2006 nilifanikiwa kuona mtoto kama wa miaka 13 akiwa kwenye kundi la wanariadha waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Ilboru sec, Arusha mida ya alasiri. Alikuwa katoto kwelikweli kiasi kwamba hata wakienda mazoezi ya kukimbia umbali mrefu alikuwa mara zote ni wa...
Baadhi ya wanariadha wakubwa wa Tanzania wasusia mashindano ya karatu festivals yanayoandaliwa na kamati ya olimipiki Tanzania (TOC) ikiwa ni baada ya makamu wa rais wa TOC Henry Tandau kumkata jina kwenye uchaguzi wa kamisheni ya wachezaji na kumuita muasi/msaliti kwa kuhamasisha wenzake kuvaa...
Mwanariadha Alphonce Simbu alipotua Nchini akitokea Ufaransa alihojiwa na hii ni sehemu ya maelezo yake kuhusu sababu za yeye kutofanya vizuri na kushinda Medali kwenye Michezo ya Olimpiki 2024 Jijini Paris:
"Kwanza kabisa tulitakiwa tujijue njia ambazo tutatumia kukimbia hata miezi miwili...
Leo aubuhi nimefuatilia shindano la Olympic kule Paris la mbio ndefu ya kilomita 42 na mwanariadha Ndugu Simbu akiwa mshiriki toka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa kweli matokeo yake hayakuwa mazuri kwa kushika nambari 17 akitumia saa 2:10: 03
katika mbio hizo. Pole sana. Rudi nyumbani...
alphoncesimbu
gabriel gerald geay
marathon
mashindano ya olimpiki
mwanariadha
olimpiki paris 2024
olimpiki ufaransa 2024
tanzania
ufaransa
wanariadha wa tanzania
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania toka (JWTZ) Sgt. Alphonce Felix Simbu awasili Tanzania Kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi wa Michezo na Makocha kutoka Jeshi la ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ) baada ya kushinda kwa kushika Nafasi ya Tatu...
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ashika nafasi ya Pili kwa muda wa Saa mbili na Dakika tano na sekunde Thelathini na Tisa (2:05:39) na kuwa muda wake mzuri (PB) yaani (Personal Best).
Huku Mwanariadha Jackline Sakilu akishika nafasi ya Nane kwa muda wa saa mbili na...
MHE. DANIEL SILLO AKIWA NA MWANARIADHA GABRIEL GEAY BUNGENI
Wanariadha Gabriel Geay na Alphonce Simbu Watinga Bungeni
Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Daniel Baran Sillo akiwa katika picha ya pamoja na mwanariadha Ndugu Gabriel Geay katika viwanja vya Bunge ambaye hivi...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeamuru Kampuni kutoa huduma za maudhui ya vituo vya luninga - MultiChoice (T) kuwalipa Sh. 450 milioni wanariadha watatu maarufu wa Tanzania.
Imethibitika mahakamani hapo kwamba MultiChoice ilitumia picha za Wanariadha Alphonce Simbu, Failuna Abdi Matanga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.