ally kamwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    Ally Kamwe: Shabaki anayeweza kuwa mshambuliaji aje atusaidie mechi dhidi ya Mtibwa Sugar

    Kikosi cha Klabu ya Yanga kimewasili jijini Dodoma kwa ajili ya kuwakabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara utakaochezwa March 21 kwenye Uwanja wa CCM Jamhuri, jijini Dodoma Akizungumza mara baada ya kuwasili, Afisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe, amesema dhamira yao...
  2. Minjingu Jingu

    Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

    Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi Tulimwambia dogo kwanza ajaribu kukaza misuli awe sawa.na kisha aoe kilmya kimyA tu mwanamke asiwe wa mjini...
  3. Chizi Maarifa

    Ally Kamwe amekuwa kwenye wakati Mgumu sana hapa Yanga. Amekuwa akidharaulika

    Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara. Mwaka huu aliahidi kuwa ndani ya nyumba angeshika kipaza dakika za mwishoni anakuja aaambiwa " hilo suala la kutambulisha...
  4. M

    Wana simba wenzangu kuleni kwa wingi karanga mbichi, mihogo na kupaka mkongo ili tukampe kichwa Ally Kamwe

    Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
  5. kavulata

    Ally Kamwe ungeacha watu wamuone wenyewe Doumbia, Atakamiwa na kuumizwa.

    Kumsifu sana mchezaji hakuongezi wala kupunguza uwezo wake bali kuhamasisha wachezaji wenzake wamkamie. Ilikuwa hivyo kwa Makudubela sasa umeanza kwa Doumbia. Usiwaletee shida wachezaji, tutafute namna mpya ya kuvutia watu kuja viwanjani badala ya hii ya kizembe kwa wachezaji. Kama Doumbia...
  6. Frank Wanjiru

    Ally Kamwe: Lolote kuhusu usajili wa Yanga nipigiwe simu mimi

    "Niwaombe tu Baadhi ya vijana wenzangu ambao ni Waandishi wa Habari .. Mtu anapokupa stori Yoyote kuhusu yangasc.. Ni Vyema Ukanipigia kwanza ili UBALANCE kisha ndio uandike Kilichotokea Leo kwa PRINCE DUBE kimewadhililisha sana... Na inaweza kusababisha Jamii isiwaamini Tena mnapoandika Habari...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    Ally Kamwe: Nitapeleka barua rasmi Simba kuwaomba wadhaminiwe na GSM ili wasipoteze dira

    Ameyasema hayo muda mfupi baada ya game ya Yanga vs Simba ambapo Yanga iliidungua Simba bao 2:0. Ameongeza kuwa katika misimu minne mfululizo, Simba ndiyo timu inayo ongoza kwa kufungwa na Yanga na kwamba imefungwa zaidi ya timu zinazo dhaminiwa na GSM hivyo ni wakati wa kupokea barua ya posa...
  8. kavulata

    Mnguto na Kasongo hawakujiuzulu kwasababu za Yanga, bali kuitaja serikali mbele ya Ally Kamwe

    Kwa desturi za waafrika, watanzania na Karia, Kila nafasi ni ajira kamili, hivyo hatuna utamaduni wa kujiuzulu hata kama watu waseme nini. Hata Hawa hawakujiuzulu kwasababu wameboronga. Uwezekano nii mkubwa sana kwamba huenda wamejiuzulu kwasababu ya kuitaja serikali kwenye kikao kama chanzo...
  9. D

    ally kamwe akijichanganya kibarua chake kinaweza kuisha leo

    I wil be short hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana. mwakani atafute kazi ya kufanya , wana yanga wapo moto wana sikiliza akijichanganya tu. wana mkataa mazima
  10. Chizi Maarifa

    Haka ka Ally Kamwe kanatusaliti: Yanga ipo tayari kucheza na Simba Derby

    Naona ameona ujinga wake umeshafahamika. Haka kadogo hakana msimamo kabisa. Sasa hizi jersey zetu za hatuchezi tutazifanyaje? Kameshaanza kulegeza. Simba hawatajibu huo upuuzi.
  11. Franky Samuel

    Maneno ya Ally Kamwe baada ya matokeo ya mechi ya Simba vs Mashujaa asema "tuwaheshimu viongozi wetu"

    Meneja wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿 "Kwa mlioyaona Leo Wanayanga na bado Timu yetu inaongoza Ligi .. Ni Ishara kuwa Tunapaswa kuwaheshimu na Kuwaombea sana VIONGOZI WETU Sio rahisi hata kidogo, Ingekuwa ni watu dhaifu wangeshakata Tamaa...
  12. T

    Ally Kamwe akataa uchawa; Aziheshimisha taasisi za kiraia mbele ya serikali

    NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali: 1. Nina shughuli yangu sitaki kiongozi wa serikali aje ! 2. Nina hela yangu ya mfukoni nitatumia in one day kulisha wananchi ( ng'ombe...
  13. Fbn

    Kitendo cha Ally Kamwe na RC wa Tabora wote ni pwagu na pwaguzi sema tu kazi zenu ni tofauti

    Tumesha sema sana hapa JF kuhusu mwenendo wa serikali ya CCM jinsi mnavyo weza kuwapa watu viburi na kujiongelea au kutokuheshimiana. Sija shtuka kuona la Ally Kamwe kwani hata Steve Nyerere alishawai kuita vyombo vya habari na kuikemea Chadema. Soma Pia: 'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi...
  14. kavulata

    Ally Kamwe amekamatwa na serikali ya CCM?

    Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa watu wote, taasisi zote na vikundi vyote. Anapokuwa anatumia pesa ya watu wote kuwapa Tabora United inayoshiriki ligi kuu sawa na timu nyingine sio sawa. Hii ni tofauti na goli la mama ambalo linatolewa kwa timu yoyote inayoshiriki mashindano makubwa. Mkuu wa mkoa...
  15. Bani Israel

    Hukumu ya ally kamwe iliishia wapi?

    Ndugu zangu kuuliza sio ujinga. Ally kamwe si alifungiwa kujihusisha na mpira kwa miaka miwili? Imekuwaje anaendelea kujihusisha na mpira hadi hili sakata la tabora limetokea nimeshangaa sana kuwa bado ni msemaji wa yanga mbona manara alipofungiwa aliachia ngazi?.
  16. CAPO DELGADO

    'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi Tabora yathibitisha kumshikilia

    Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora. Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa. Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum. RPC Tabora amethibitisha “Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa...
  17. Just Pray

    RC Mtanda: Serikali hatuwezi kuchukua kispika cha Ahmed Ally cha kuuzia kunguni kutoa taarifa, tunafanya kazi kama Ally Kamwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali, Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu mgao wa 30% za Rais Samia kupitia NeST.
  18. Mr Q

    Taarifa ya Ally Kamwe kufungiwa itatoka lini?

    Nashawishika kuuliza hivyo kwakuwa naona Priva ni kama rasmi sasa ameshika mikoba ya usemaji wa Club. Je amefungiwa? Kama amefungiwa taarifa itatolewa lini? Au wanasubiri taarifa ya bodi ya ligi kuhusu Derby? Ili wazitoe kwa pamoja ili taarifa moja itumike kufunika taarifa nyingine? Soma Pia...
  19. Roving Journalist

    Ally Kamwe: Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, ni muhimu kujiandikisha Kupiga Kura

    Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na kwamba ni jambo la Kisiasa lakini ukweli ni kuwa Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, hivyo ni...
  20. Just Pray

    Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

    Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni. Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
Back
Top Bottom