Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora kutumika kwenye michezo ya ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.
TFF imeziagiza timu zinazotumia uwanja huo kutumia uwanja mwingine kama kanuni zinavyoelekeza.
Hata...