albert msando

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PostGE2025 DC Msando: Kamera za CCTV Goba ziling'olewa na waandamanaji Oktoba 29

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, ameingilia kati na kutolea ufafanuzi sintofahamu iliyotawala miongoni mwa wakazi wa Goba kuhusu kuondolewa kwa kamera za usalama (CCTV) katika makutano ya barabara za Goba Center na Goba Njia Nne. Kamera hizo, ambazo zilikuwa ni matunda ya mpango wa...
  2. PAYE

    PostGE2025 DC Msando: Hakuna mtego kwa Askofu Gwajima, kufungulia kanisa lake

    Serikali imesema hakuna mtego wowote uliowekwa kwa Askofu Dkt. Josephat Gwajima, unaotokana na kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima analoliongoza Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam Wakili Albert Msando kwaniaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  3. Waufukweni

    GE2025 DC Msando: Nikigundua anayehamasisha maandamano anatoka Ubungo, nitakula naye Sahani moja

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, Wakili Albert Msando, amewataka wananchi wa wilaya hiyo na Watanzania kwa ujumla kuondoa hofu kuhusu taarifa za uwepo wa maandamano Oktoba 29, akisisitiza kuwa siku hiyo kutakuwa na amani na shughuli zitaendelea kama kawaida. Soma: DC Msando...
  4. Waufukweni

    GE2025 DC Msando: Hakuna atakayeleta Nyonyonyoo Oktoba 29, halafu tumuangalie tu!

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewatoa hofu Wafanyabiashara wa Ubungo, Jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kuwa tarehe 29 hakuna atakayewasumbua kwa kudai kuwa kuna maandamano badala yake wajiandae kufanya biashara kama kawaida kwani ulinzi na usalama utakuwa wa...
  5. R

    GE2025 Albert Msando: Tundu Lissu anajitetea mwenyewe, Je, Mahinyila alikamatwa pale kama Wakili au Mwenyekiti wa BAVICHA?

    Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza suala la Wakili Mahinyila kukamatwa katika eneo la Mahakama “Sote tunajua kuwa Tundu Lissu anajitetea mwenyewe mahakamani, lazima...
  6. R

    Albert Msando: Polepole asihishutumu Serikali Kuhusika na Utekaji, mbona hata yeye aliwahi kutajwa kuhusika na utekaji

    Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuwa Serikali haihusiki na utekaji kama anavyodai aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole “Serikali haiteki Watu...
  7. R

    GE2025 Albert Msando: Ni kweli Ufisadi upo nchini lakini Rais Samia anapambana nao

    Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuhusu kuwepo na mapambano dhidi ya ufisadi nchini “Ni kweli ufisadi upo Nchini lakini Rais Samia anapambana nao, na anakereka na...
  8. Mtemi mpambalioto

    Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  9. M

    DC Ubungo: Kusema kwamba “ukristo unashambuliwa” au “Kanisa linalengwa” ni upotoshaji wa makusudi ambao sitaukalia kimya

    Kusema kwamba “ukristo unashambuliwa” au “Kanisa linalengwa” ni upotoshaji wa makusudi ambao sitaukalia kimya. Kusema waumini Milioni 3 na zaidi ya Makanisa 2,112 yamefungiwa nchi nzima sio kweli. IMANI YA KILA MMOJA INAHESHIMIWA NA KULINDWA KWA MUJIBU WA SHERIA. Haki na Wajibu. Tarehe...
  10. evangelical

    Albert Msando Acha Upotoshaji

    Haka ka dc kamchongo kapuuzi sana kamepost suala la kusitishwa Bunge halafu kamelimit coment . Kajamaa kapumbavu sana kana jua kujipendekeza na tokea wamejua Samia ni mpenda Masina wanasifia hadi upumbavu. Yaani jinsi ulivyompumbavu umeamua kuzuia koment We Mume wa Gigy Money ndivyo huyo...
  11. T

    Hizi coverage za Ikulu ndio zimekosa ushawishi hivi .? Watanzania 2 tu kwa zaidi ya saa 3 .?T

    Ndugu Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .? Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa wanafanya
  12. Cannabis

    DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

    DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi. Pia soma ~ Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni
  13. R

    Albert Msando kaona mama Tibaijuka kapuuza na hoja zake ameamua kujiposti yeye na nguo zake za mahafali na CCM

    Nchi imevurugwa, mkuu wa Wilaya ya Handeni alitafuta popularity kwa bibi wa Taifa mama Tibaijuka; bibi wa Taifa alijibu once then ila Msando amezungumza hadi maneno yameisha Nadhani hakujiandaa, sasa hivi ameona athibitishe hoja za kuuzwa bandari kwa mavazi yake ya mahafali may akiamini watu...
  14. A

    Mkuu Wilaya ya Handeni Albert Msando amepotoka

    Inashangaza na kustaajibisha DC Albert Msando kutushikilia wachimbaji wadogo ili tusulubishwe na mwekezaji mwenye leseni ndogo ya uchimbaji ndugu Godfrey Bitesigwire... Mkoani Tanga Wilaya ya Handeni katika machimbo ya dhahabu kijiji cha Kwa ndege pamekuweko na mgogoro wa muda mrefu kati ya...
  15. Erythrocyte

    Handeni: Mkuu mpya wa Wilaya Albert Msando aanza na Tezi Dume

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh Albert Msando amehamasisha wanaume wa Handeni kupima Tezi dume kwa hiyari. Bado haijafahamika sababu ya msingi ya DC huyu kuanza na kipaumbele hiki katikati ya changamoto zote. Ngoja tuone kitakachofuata.
  16. GENTAMYCINE

    Tajiri wa Morogoro Abood najua leo una Furaha kwa Adui yako mkubwa DC Msando Kuhamishwa

    Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama. Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
  17. BARD AI

    DC Albert Msando: Hakuna mwandishi atakayenyanyaswa

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka waandishi wa habari, kufanya kazi zao kwa kufuata sheria, taratibu na weledi na kwamba hakuna atakayenyanyaswa, wala kunyang’anywa vitendea kazi, wakati wa utekelezaji wa majukumu yake wilayan humo. Msando alisema hayo katika mdahalo...
  18. GENTAMYCINE

    Acheni 'Double Standards' utampelekaje Fatma Nyangasa Morogoro badala ya 'Kumpromoti' Albert Msando ambaye kafanya Makubwa huko?

    Natembea sana na ukiniuliza leo hii kuwa tokea Fatma Nyangasa ateuliwe kuwa DC Kigamboni kuna kipi cha maana alichofanya jibu langu la haraka nitakujibu hakuna. Ila ukiniuliza leo hii tokea Albert Msando ateuliwe kuwa DC Morogoro na kafanya nini huko ( ukizingatia GENTAMYCINE ) nilikuwa huko...
  19. BigTall

    Albert Msando: Wanahabari kuweni watetezi wa Haki za Binadamu, msiegemee upande mmoja

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza. Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
  20. Hon John Joseph

    Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando apongezwa kwa utendaji kazi

    Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando amepongezwa kwa utendaji kazi wake kuwa kwa kipindi kifupi umeleta mabadiliko mazuri kiutawala na hasa katika kuwaletea maendeleo wananchi na wakazi wa wilaya ya Morogoro Mjini. Hayo yamezungumzwa na Waheshimiwa Madiwani katika kikao Cha Baraza la...
Back
Top Bottom