albert chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila atoa mkono wa Eid kwa watoto wenye uhitaji

    Wakuu, Viongozi wanachangamkia kuonekana wema si mchezo! === Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekabidhi Sadaka ya vyakula iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye vituo mbalimbali vya makao ya watoto wenye uhitaji kwa ajili ya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila amuwashia moto mkandarasi, achukizwa na uzembe barabara ya Kivule

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kitunda, Kivule Msongola na Majohe njia 4 ambayo toka makataba wa ujenzi usainiwe mwaka jana mpaka sasa Mkandarasi amejenga Camp tu na vifaa vya ujenzi havionekani licha ya...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Ushauri Mkoa wa Dar waridhia jimbo la Ukonga ligawanywe mara mbili

    Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo...
  4. JamiiForums Tanzania Albert Chalamila nadhani umeshajiandaa kwa linalotarajiwa Kwako very soon. Kuna maisha baada ya lolote lile litakalotokea

    Sijui ni kwanini mara kwa mara huwa unashindwa kuitumia hiyo Masters Degree yako unayotamba nayo kuepuka Mitego.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji viongozi kama Albert Chalamila

    Ni msema kweli, nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sio habari ya kupapasa kisiasa kunakodumaza taasisi za umma.
  6. JamiiForums Tanzania RC Albert Chalamila: Barabara ya mwendokasi Airport mpaka Posta itafungwa kupisha mkutano wa kahawa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesema nchi 25 kutoka Afrika zinatarajia kuhudhuria katika mkutano wa kahawa utakao fanyika nchini Tanzania kuanzia kesho Februari 21 Hadi 22 wenye lengo la kujadili namna ya kulikuza zao hilo. Mkutano huo kwa siku ya kesho uta hudhuriwa na...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti BAVICHA: Chalamila mimi sio saizi lakini lazima nikujibu

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Elizabeth Mwakimomo, amesema mabadiliko katika nchi hii yataletwa na chadema na kuongezea kuwa Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ni za kiudhalikishaji kwa wanawake na lina shusha hadhi ya wanawake kwa ujumla.
  8. JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Kizazi ambacho kimepata divisheni 0 au 4 tunakiweka kwenye kundi lipi? Tunazalisha kizazi ambacho hakina tija kwa taifa

    Wakuu, Kama unajua una divisheni 0 au division four una ujumbe wako hapa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila. ==================================== Mkuu wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila akizijengea uwezo hoja zilizotoka kutoka kwa walimu juu ya changamoto zinazoweza...
  9. JamiiForums Tanzania DSM ngumu, inahitaji RC wa viwango fulani. Nashauri Antony Mtaka aletwe hapa atatusaidia sana, vinginevyo bora hata Makonda arudi

    Wanabodi Hii ni opinion article Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!. Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Chalamila, serikali wanapotutaka kulipia huduma za serikali wanajua malipo tunayolipa serikalini bila kupewa risiti ni kwa maslahi ya nani?

    Nchi ngumu sana hii
  11. JamiiForums Tanzania Chalamila: Changamoto iliyojitokeza Wakati wa Mkutano wa Nishati ni Uchache wa Hoteli

    My Take Hii mikutano iwe inapelekwa Arusha na Zanzibar ndiko hakuna uhaba wa Hoteli,hapo Dar kumejaa ma Bar na Hoteli za Kawaida ambazo Hazina hadhi ya Kimataifa. == Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha mkutano wa wakuu wa nchi za...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mkutano umeisha, sasa ni muda wa kumshughulikia RC Chalamila

    Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mama wakati uko bize kujiandaa na mkutano wa Nishati Chalamila amemdihaki na kumdharau mwanamke wa Tanzania. Mama wewe ni mwanamke, ulipata mimba, ulipata uchungu, na kisha uliingia Lab kujifungua. Unajua vizuri kadhia wakati wa mchakato huu . Fikiria upo...
  13. JamiiForums Tanzania Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini

    Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi kusikika akitoa agizo la kuchapa viboko wanafunzi walioteketeza mabweni, jambo lililozua mjadala...
  14. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Albert Chalamila upitiwe upya, ufafanuzi wake hauna mantiki

    Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital. Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe. Kama taifa hatuwezi kuwa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mnaotetea Chalamila ripoti za CAG huwa hamzioni? Rais Samia usipomtumbua umebariki unyama huo kuendelea

    Nashangaa mnaowasakama wajawazkto na kusema wanajidekeza sijui wajifunze kuchagia huduma, wapuuzi kabisa! Huwa hamuoni mabilioni ya pesa yanavyotafunwa na kuripotowa kila mwaka lakini hakuna hatua inayochokuliwa? Kwani hamjui kama hizo ni kodi zetu na ndio wanasababisha huduma kuzorota? Pia...
  16. JamiiForums Tanzania Nasimama na RC Chalamila kuhusu huduma za wajawazito, nampongeza kwa uwazi na ukweli

    Ifike mahali wananchi waache kulialia na kuhitaji kila kitu bure. Hii nchi bado inajitafuta na hata kama tutajipata hatutaweza fikia azma ya kutoa huduma za afya bure. Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali kadhaa wa kadhaa hasa hizi za wilaya zina kufa kwa sababu ya utoaji wa huduma bure kupita...
  17. JamiiForums Tanzania Chalamila kaongea uhalisia wa mambo ulivyo ila kwa lugha yenye ukakasi, hapaswi kuadhibiwa

    Naona kuna watu wanajaribu kutwist uhalisia wa mambo yalivyo mahospitalini kutokana na aliyoongea mkuu wa mkoa wa Dar, Mhe. Chalamila. Ila huo ndiyo uhalisia wa mambo ulivyo kwenye mahospitali yote ya umma kuanzia dispensari mpaka hospitali ya taifa. Zile huduma wanazohubiri wanasiasa kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi. Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es...
  19. JamiiForums Tanzania Dar kama New York! Chalamila atangaza mpango maalum biashara kufanyika hadi usiku wa manane! Jeshi La Polisi kuhusika

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24. Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya RC Albert Chalamila kuhusu wauza uduvi nimefanya tafiti na kugundua yafuatayo

    Salaam Aleykum ndugu katika imani, Nilisikiliza hii kauli ya mheshimiwa RC Dar Chalamila ikabidi kwanza nitafute hao uduvi wanaoongelewa hapa ni kitu gani, nikagundua uduvi ni dagaa wa kamba wale wadogo wenye mimba mingi. Nikatembea kwa wauzaji wawili watu nikagundua waujazi uduvi huwa hawauzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…