"Nabii" ni neno la Kiswahili lenye maana ya mjumbe au msemaji kwa niaba ya Mungu
Chalamila anamuweka samia kundi moja na watu kama Yohana Mbatizaji na wakina Musa.
Hapa ndio wanaosema hakuna Mungu wanapokua na point, Kama kweli Mungu yupo, kwa damu aliomwaga anaruhusu vipi hizi dharau...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kushtukiza katika barabara ya mwendokasi Moroco hadi Mwenge anoesha kutoridhiswa na kasi mkandarasi na kumtaka kuharakisha mradi huo na kukamilika kwa kiwango ili kupunguza changamoto kwa wakazi wa mkoa huo.
Chalamila ameyasema...
RC Chalamila amefafanua kwa kina sakata la kukamatwa kwa fedha taslimu shilingi bilioni 6 zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa China, akisisitiza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa ili kubaini chanzo na uhalali wa fedha hizo.
Pia Soma:
Polisi wachunguza video ya 'Mchina' aliyekutwa na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila asked about the whereabouts of the abducted ambassador Humphrey Polepole
The most contentious questions asked by the press to governor of Dar es Salaam county Mr Abert John Chalamila revolved around the intelligence failures leading up to...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema miundombinu ya Mkoa huo imeendelea kudumu na kuimarika kutokana na ufanisi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ambavyo vimefanya kazi kubwa katika kudhibiti athari za maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Novemba 24, 2025 katika...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, amefanya ukaguzi maalum katika eneo la Mbagala ili kujionea uharibifu uliotokea kufuatia tukio la maandamano lililotokea tarehe 29 Oktoba. Ukaguzi huo umefanywa kwa lengo la kutathmini athari zilizopata miundombinu ya mradi wa mabasi ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mfanyabiashara Mohamed Yusufali amekuwa akitumia majina ya familia ya Rais wa Tanzania kinyume na taratibu na kuchafua viongozi.
Pia soma
Mjane Alice Haule arudishiwa Nyumba Mikocheni na TSh. 10 Milioni baada ya kudaiwa kuwa ni mali ya...
Baada ya uchunguzi wa kamati iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika sakata la nyumba, Alice Haule aliyedaiwa kuvamiwa na watu waliotaka aondoke kwenye nyumba hiyo kuwa iliuzwa na marehemu mumewe, ripoti ya kamati hiyo leo imebanisha kuwa nyumba hiyo ilikuwa mali halisi ya ndoa na ule...
Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli ya Mamlaka iliyotolewa Na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila kuwaasa wale wote watakao kufanya kujitoa akili au kujizima Data na kutaka kuleta vurugu siku ya uchaguzi.
Amesema ya kuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kumekuwepo na baadhi ya maandiko mbalimbali mtandaoni kuwa Vijana na Makada wa Vyama vya siasa wanahamasisha maandamano siku ya Uchaguzi Mkuu Octoba 29, 2025 ambapo amewaonya wanaotaka kujaribu kufanya vitendo hivyo kwani hawatofanikiwa.
Chalamila ameyasema...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza leo Oktoba 4, 2025 Kwenye Kongamano la Mawakili Wanawake kuelekea Uchaguzi Mkuu amesema "Hakuna Taasisi inayokulipa mshahara kwa ajili ya familia yako, mshahara unaolipwa ni kwa ajili yako wewe. Hata ungelipwa Mil 50 bado mshahara huo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemhakikishia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa hali ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) ipo shwari licha ya tukio dogo lililojitokeza usiku wa kuamkia jana.
Amesema kuwa majira ya saa 12 jioni, kulijitokeza kikundi kidogo cha watu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa wito kwa watanzania kuwa wavumilivu kwa changamoto ya uchache na ubovu wa mabasi ya mwendokasi kwani changamoto hiyo inakwenda kupatiwa ufumbuzi muda si mrefu. Ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara katika kituo cha mabasi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba radhi watumiaji wa mabasi ya mwendokasi kutokana na upungufu wa mabasi, akiwahakikishia kuwa muda wowote tatizo hilo litatatuliwa.
Soma > Chalamila: Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii.
Albert Chalamila ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam kujionea hali ilivyo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo tarehe 22 Septemba, 2025 amekabidhi magari mawili aina ya Toyota Land Cruiser Prado yenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni mia mbili hamsini na mbili kila moja (Tsh. 252,000,000) kwa wakuu wa wilaya za Ubungo na Kigamboni.
Aidha...
Katika juhudi za kukabiliana na ongezeko la idadi ya watu katika Mkoa wa Dar es Salaam, uongozi wa mkoa huo umeamua kuanza rasmi ujenzi wa shule za ghorofa na kuachana na ujenzi wa shule za majengo ya kawaida ya chini.
Kauli hiyo imetolewa leo, Septemba 16, 2025, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa ifikapo tarehe 15 Agosti 2025, mabasi 99 yataanza rasmi kutoa huduma ya usafiri katika barabara ya Mbagala.
Aidha, kufikia tarehe 1 Oktoba 2025, mabasi mengine 250 yanatarajiwa kuanza safari kati ya kituo cha Mbezi Kimara hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.