akiba

Tadatoshi Akiba (秋葉 忠利, Akiba Tadatoshi, born November 3, 1942 in Arakawa, Tokyo) is a Japanese mathematician and politician and served as the mayor of the city of Hiroshima, Japan from 1999 to 2011.

View More On Wikipedia.org
  1. Dharula moja inaweza kufuta akiba zako zote kama hukujipanga

    Dharula/emergency au Ugonjwa mmoja unaweza kufuta savings zako zote kama hujajiandaa Watu wengi wanapanga bajeti vizuri lakini wanapuuza kitu kimoja muhimu sana: emergencies. Dharula haipigi hodi, hujui ni lini utapata malaria, hujui lini mama nyumbani ataugua, mwanao ataharibu mali za watu...
  2. Bunge lisilo na meno na hatari ya kuuza akiba ya dhahabu

    1/ Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 uliogubikwa na damu, hofu na tuhuma nzito za kukosa haki, Tanzania imejikuta ikipoteza imani ya mataifa na mashirika mengi ya kimataifa. Matokeo yake? Misaada na ushirikiano wa kifedha kusimamishwa au kupunguzwa. 2/ Badala ya serikali kuwa wazi kwa wananchi...
  3. Moderators wa JF rudisheni uzi wangu niloshauri Samia Suluhu Azuiwe kuuza Sehemu ya Akiba ya Dhahabu ya Taifa

    Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia. HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !! Kwa akili ya Samia na Genge lake maana...
  4. Uuzaji wa Akiba ya Dhahabu ni dalili mbaya ya kushindwa kwa dola

    Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu ili kufadhili miradi ya miundombinu imenistua sana. Ni jambo linalopaswa kutafakariwa...
  5. Mahojiano ya Boni Yai na Mtozi Nyanda Yamedhihirisha CHADEMA ina Akiba ya Viongozi wenye Akili Kuliko Chama Chochote

    NImefuatilia mahojiano yaliyofanyika kati ya Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai Ex Mayor ambaye ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na mtangazaji anaye kuja kasi Aloysi Nyanda aka Mtozi. Nilichogundua ni kuwa viongozi wa Chadema hata awe kwa ngazi ipi, wana uwezo mkubwa wa akili na huwa...
  6. G

    Jana Nilikuwa NMB kwakweli mtandao wao ni mzito sana nimeamua kutoa Hela zangu zote niweke akiba zingine

    Watu wanalalamika sana kuhusu uzito wa kutoa huduma Kama mifumo imeshavamiwa watoe taarifa mapema Pia nashauri BOT wasidharau sana maneno ya vijana , waanze kutafuta backup system . TAhadhari ni muhimu
  7. Idara ya Uhamiaji Kakonko yatoa Elimu ya Uzalendo kwa Wanafunzi wa Jeshi la Akiba

    ‎ ‎Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia kampeni ya "Mjue Jirani Yako". ‎ ‎Mafunzo haya yalilenga kuwajengea wanafunzi uelewa juu ya majukumu...
  8. N

    Rafiki yangu alinipiga gepu kwa kipato cha laki 9 kwa mwezi wakati naingiza 80K hadi Laki kila siku, Kipato cha kila siku kina ugumu kuweka akiba

    Mnavyoona Mafundi, Madereva, Wajenzi, Wavuvi, Watoa huduma, n.k. wanavyoingiza kila siku kiasi ambcho kwa hesabu za mwezi kinaweza kuvuka hata mshahara wa mtumishi serikalini lakini hawana maendeleo msiwalaumu sana, Ni ngumu sana kuingiza hela kila siku halafu uwe na budget kama ya mtu...
  9. Serikali inapokusanya Kodi inaweka AKIBA?

    Pamoja na kukusanya Kodi kwa ajili ya kazi za Serikali, jee Kila mwezi TRA wanapokusanya Kodi, watu wa Hazina huwa wanaweka AKIBA? Kuna mwaka tuliwahi kuweka akiba angalau ya asilimia kumi ya makusanyo ya Kodi? Au kila tunachokusanya tunakitumia?
  10. Natafuta Huduma ya Akiba ya Fixed Term Inayoruhusu Kuweka Mara kwa Mara Bila Kutoa Mpaka Muda Uishe

    Wakuu habari, Naomba msaada wa maarifa kutoka kwa yeyote anayeifahamu huduma ya benki au mobile money inayoruhusu kuweka akiba ya muda maalum (fixed-term saving) kwa mfumo ufuatao: Nijiwekee muda mfano mwezi 1 hadi mwaka 1 Niwe na uwezo wa kufanya deposit mara kwa mara wakati wa kipindi hicho...
  11. Wekeza weka akiba ili uishi vizuri kesho

    Unataka kufikia uhuru wa kifedha? Ni lazima upitie hizi hatua sita.. Na ili ufike hatua ya sita ni lazima upitie hatua y Akiba kisha uwekezaji 1. Tengeneza Bajeti ya Kila Mwezi Tambua kipato chako na angalia matumizi yako yote. Lenga kutumia chini ya unachopata. Tenga asilimia kwa kila...
  12. Muacheni Rais Samia. Ni kama Mzazi awekaye akiba za Wanae

    Nikiwa kama kada mtiifu na muaminifu kwa JMT, nasema acheni kumsimanga na kumshushia lawama Mh. Rais kuwa anatumia madaraka vibaya. Vipi wewe kwa upande wako, endapo ungepata nafasi ya kuwa kiongozi mwenye cheo cha juu namna hii usingethubutu kuweka akiba ya baadae kwa ajili ya watoto wako...
  13. Rais Samia Asema Serikali Imeruhusu Wananchi Walioajiriwa na Waliojiajiri Kujiwekea Akiba Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
  14. Kwanini tutumie akiba ya fedha za kigeni kununulia umeme nje na hali tunao humu ndani?

    Huwa nazungumza sana akiba ya pesa za kigeni sababu ni kitu muhimu sana kwa nchi. Nchi inatakiwa kutumia kwa busara sana pesa za kigeni. Hizo ndizo tunaagizia mafuta, madawa, kulipa madeni na mahitaji mengine muhimu. Ukisikia serikali haina pesa ujue hasa inamaanisha haina hizo reserve...
  15. Jikomboe Kiuchumi Hatua #3 - Kuwa na Akiba ya Miezi 3 hadi 6 Kwa Ajili ya Dharura

    Habari wanaJF, Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi kuendelea na makala yetu ya kujikomboa kiuchumi. Nimejificha kwenye maktaba fulani hapa. Feni zinafanya...
  16. B

    Kuweka akiba kwa kipato cha 15000 Kila siku ambayo ni Sawa na 450,000 ni kujitesa!

    Picha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea 👉Umepanga chumba na sebule 70k-100k kwa mwezi 👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku 👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi 👉Bado umeme(10k), maji 👉Huna malupulupu Kuweka akiba kwa mtu anayeingiza 450k kwa mwezi ni kujitesa...
  17. B

    Tamida yasema ni sawa BOT kuweka akiba ya madini

    Kahama, Tanzania TANZANITE NI RASILIMALI INAYOPATIKANA TANZANIA PEKEE, HIVYO TUWEZE KUONGEZA THAMANI YAKE https://m.youtube.com/watch?v=TAir66Cw5X8 Sekta ya madini tupo nyuma katika kuongeza thamani, kwani tukikata madini kama tazanite, almasi, Vito hadi watalii wakija Tanzania wanunue madini...
  18. Akiba ya Maneno: Al Hilal na Yanga inaenda kuisha kwa droo

    Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno. Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare. Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika. Hongereni wana...
  19. Je, kuweka akiba ni kipaji?

    Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu. Get back to the point kuweka akiba ni kipaji sio kwa ajili ya Kila mtu ndio maana formal sector walikaa chini na kuumiza vichwa namna watakayo...
  20. Hakika wema ni akiba

    Heri ya mwaka mpya wanaJf.Ninaimani mmeupoea mwaka salama ninyi na wapendwa wenu salama.Kwa upande wangu ninamshukuru Mungu kwani amenichagua tena na si kwa kupenda kwangu bali ni katika mapenzi yake amenichagua. Wacha niende mojakwamoja kwa kile kilichonifanya nilete uzi.Mwaka 2023 mwishoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…