ajira

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimemaliza Kidato cha sita

    Mimi ni kijana wa kiume miaka 21 Nina elimu ya form six Nimeshindwa kujiendeleza na masomo mwaka jana maana nilikosa mkopo Hivyo basi natafuta kazi yoyote maana nilikokuwa nimejishikiza mwenyewe amefunga Napatikana kwa 0622905303
  2. JamiiForums Tanzania Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

    Log in > Nenda my Application > Employer. Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview.... Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea... Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao.. Kama uliomba masomo mawili, Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka

    Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia wasiojiweza hichi ndio anachokitafuta ushawah kujiuliza kwanini Kuna watu kila wanachoanzisha kinafanikiwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu upatikanaji wa ajira za wataalamu wa umeme ngazi zote

    Wakuu habari za Leo. Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme. Mnisaidie mashirika yote binafsi na ya serikali yanayohitaji watu wa electrical ili niweze kuyafatilia yote kwani mm ni mgeni...
  5. JamiiForums Tanzania Nani alikusaidia kupata kazi unayoifanya?

    Kuna kazi nyingi za kufanya ndani ya Nchi na nje ya Nchi huku ikitegemea na taaluma yako uliyosomea. Kuna watu wamepata kazi hizo kwa kupambana wenyewe huku wengine wakisubiri kusaidiwa kwa namna moja ama nyingine. Wengine pamoja na taaluma walizonazo lakini wameamua Kusaka maarifa mengine...
  6. JamiiForums Tanzania Solved: kama umejaza kila kitu Ajira portal lakini ukiomba application kwambia “Fail”, suluhisho liko hapa.

    So kuna watu wanalalamika kua profile zao ni 100% lakini wakiomba kazi, application inafaili na kuambiwa waangalie vigezo. Kama umekutana na tatizo hili basi mi nimepata suluhisho . Kifupi ni kua ili maombo yafanikiwe, basi ni lazima uwe ume meet “minimum requirements”. Swali, system...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya Transporter /clearing and forwarding

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,napatikana boda ya Tunduma, Elimu yangu kidato cha sita, natafuta ajira ya kuwa transporter au Agent ku clear mizigo boda ya Tunduma, nina uzoefu wa Exportation, importation na Transit Kwa miaka minne sasa.. Kazi itafanyika Kwa uaminifu. Naombeni ajira...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya China barani Afrika yachochea maendeleo ya uchumi na kutoa nafasi nyingi za ajira kwa watu barani Afrika

    Wakati mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika mjini Beijing, wataalamu na wachambuzi wa mambo ya ushirikiano wamekuwa wakifanya mapitio ya baadhi ya miradi inayotekelezwa na China barani Afrika, na matokeo yake kwa uchumi wa nchi hizo. Kinachoonekana ni kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

    Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda chali. Mimi watoto wangu siwezi...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Wale ambao ratiba ya Secretariat ya ajira inaonesha status ni ORAL pekee Ina maana hawatafanya WRITTEN?

    Kwa mwenye uzoefu na hili suala tafadhali?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika vijana wa Kike kwa ajili ya mauzo ya mradi Real Estate

    Wanahitajika vijana wa Kike kwa ajili ya mauzo ya mradi wa nyumba uliopo(REAL ESTATE) wilaya ya Kigamboni Dar es salaam. TUMA C.V YAKO:sophiahamidu59@gmail.com
  12. JamiiForums Tanzania Naomba mkeka ajira za ualimu 24/25

    Mwenye mkeka wa walimu waliopata ajira 2024/2025 naomba pls Nasikia yameshatoka ila najaribu kusakua kila website sioni. Natanguliza shukrani🙏
  13. JamiiForums Tanzania Mlioomba ajira za afya tazameni profile zenu.

    Wale waliomba ajira za afya kupitia utumishi, angalia profile yako kuona kama umeitwa kwenye usaili. Nakutakia kila la kheri.
  14. JamiiForums Tanzania Waliomba Ajira za Afya mjiandae kwa interview

    Sina maneno mengi,vijana mjiandae ,nadhani hii itakya kwa mara ya kwanza Tamisemi kufanya hii kitu.
  15. JamiiForums Tanzania Walimu wakenya wanaofundisha Tanzania wailaumu serikali ya Tanzania kwa kuwakosesha ajira

    Ni walimu wakenya wanao fundisha kwenye shule za English Medium za Tanzania. Wanasema ; 👇👇👇👇👇 " Zamani tulikuwa na soko kubwa Tz kwa sababu kwenye mfumo wa elimu wa Tz kulikuwa na mitihani ya darasa la 7. Lakini sasa hivi mitihani ya darasa la 7 imefutwa. Ipo mitihani ya kidato cha 2...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya kuzika maiti wasiotambuliwa

    Nimekutana na hii mtandaoni! Inaweza kuwasaidia wadau! Wachapakazi kazi kwenu!
  17. JamiiForums Tanzania Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambazo mkataba wake sio wa kudumu

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambao mikataba yao haizidi mwaka m1
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea mimi ni Mwalimu wa Biology na Geography

    Wakuu natafuta sehemu yeyote ya kujitolea kufundisha hayo masomo, kama kuna shule inahitaji mwalimu nipo hapa kwasasa nipo Dar es Salaam Soma Pia: Anahitajika Mwalimu wa Kujitolea kufundisha Shule ya English Medium
  19. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ambayo hahitaji Elimu

    Ni matumaini yangu mu bekheri wa afya wakuu kwa wanaoumwa poleni sana na mtakuwa sawa tena. Mimi ni kijana wa miaka 26 -28 nipo Jijini Mwanza ahangaika ila katika mihangaiko yangu mambo yamekuwa magumu deals zimekata kbs hadi nachanganyikiwa pesa sina kodi ndio imefika na kama mjuavyo Mwanza...
  20. JamiiForums Tanzania Global Technical Lead: Eye Health (ECSA) at Sightsavers August, 2024

    Sightsavers is looking for an expert in Eye Health to provide technical leadership across all eye health programmes and strengthen the global programme portfolio. Salary: Local terms and conditions apply Location: Malawi – Lilongwe, Tanzania – Dar es Salaam or Zambia – Lusaka Contract: Two...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…