Nimeona tangazo la nafasi za kazi kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa nafasi mbali mbali.
Maswali langu ni:
1. Imekuwaje TRA wamejipa(kama ni kweli) jukumu la kuanza mchakato wa ajira(recruitment process)?
2. Ni lini sheria imebadilika kutoka PSRS(Sekretariat ya Ajira katika Utumishi...