Kazi zenye mishahara mikubwa huwa hazitangazwi,
Kwa utafiti wangu binafsi, nimekuja kugundua kazi nyingi zinazotangazwa kwenye mitandao mbalimbali, magazeti n.k, nyingi huwa ni zile zenye mishahara ya milioni tatu, laki tano n.k kushuka chini.
Zile zenye mishahara minono, kama milioni 7, 10...