ajira portal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

    Msaada jamani nashindwa Kubadilisha cheti ajira portal kuweka kilichokuwa certified. Kila nikojaribu naletewa hivi.
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Nahitaji kufuta academic qualifications zangu zilizopo Ajira Portal

    Wakubwa naombeni msaada wenu. Kaam kichwa chahabari kinavyojieleza, nimejaribu kuedit kwenye academic qualifications lakini naona vyeti vyangu bado viko vile vile, nimepiga simu huduma kwa wateja ile ya mkononi na ya mezani kwa AJIRA PORTAL ila hawapokei simu zangu zaidi yakumaliza dakika zangu...
  3. JamiiForums Tanzania Kufuta qualification/cheti Ajira Portal

    Habari wajuzi, Naomba msaada, mdogo wangu kapata shida ajira portal, ameattach qualification mara mbili kimakosa na anahitaji futa moja. Naomba msaada kwa anaejua namna ya kufuta.
  4. JamiiForums Tanzania Nashindwa Kuapply Kazi ya Ualimu kupitia Ajira Portal

    Nina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili. Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed" Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada. Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ajira portal ni kizungumkuti

    Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge Tunakosa tena...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata password Ajira Portal

    Nilifungua account ajira portal mwaka 2020, ila nimesahau password lakni nikienda sehemu ya forget password wanatuma zile digits kwenye namba nilizosajilia account na mimi hizo namba sina na wala sikumbuki. Nimefanya kila mbinu niwezavyo nimeshindwa kuzipata hizo namba. Nikipiga simu kwa namba...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya account yangu ya ajira portal

    Habari za saa hizi wana jamvi , Nimejisajili na kufungua account ya ajira portal vizuri ila nlikosea kufanya usajili kwenye kipengele cha academic qualification nilikosea kujaza level ya education kwa sasa najaribu kufanya marekebisho kwenye hicho kipengele inakataa haikubali na nmejaribu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kubadilisha cheti Ajira Portal

    Wakubwa tupeane elimu kidogo nataka kujua jinsi ya kudelete cheti nilicho pachika Ajira Portal. Nimeweka cheti ambacho hakiko certified. Sasa nikitaka kukitoa hakuna option ya dellete kuna option ya view na edit basi.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma iangalie vizuri mfumo wa Ajira Portal unatutesa tunashindwa kutuma maombi, kila ukijaza taarifa hazifiki asilimia 70 na pia hakuna mfumo wa kubadili vyeti ulivyoviweka ili kuweka vingine. Sijui inakuwaje na ajira zote zinatumwa huko. Pia soma ~...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuomba nafasi zifuatazo ajira portal naomba anipe nondo au hints

    Employer: Wakala wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Job Post: TUTOR GRADE II (ENGLISH LANGUAGE Employer: Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) Job Post: CURRICULUM DEVELOPER II (FINE ART SUBJECT)
  11. G

    JamiiForums Tanzania Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
  12. JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu nazo zinapaswa kuangaliwa ajira portal?

    Wakuu naomba kuuuliza Hadi UALIMU nao AJIRA zinatumwa uko tena NI nafasi 158 tu au nmekosea kuona mwenye uzoefu atueleze kuhusu Hilo tafadhali
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ajira portal

    Kwann kwenye hichinkipengele cha status kwenye app kiko hakijajazwa wakat kwenye website wamekijaza vizuri kuwa not shortlisted kwa oral.....ilaa hii aptude test bwana et nina 91 afu siko shortlisted😀🤣
  14. JamiiForums Tanzania Ajira portal: Jipu jipya kwa ndoto za vijana

    Habari zenu wakuu Kwanza nipende kushukuru aliyebuni uanzishwaji wa hii ajira portal maana imetoa fairness sana kwa walio wengi bila kujali status yako ya kiuchumi Pamoja na hayo yote lakini kwanini mfumo unabagua sana watu? Mtu anakidhi vigezo kabisa lakini akituma maombi system inamwambia...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma. Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
  16. JamiiForums Tanzania Ajira portal, hii maana yake nini?

    Hii maana yake ni nini Nimeshangaa Kama ni masters ninayo
  17. JamiiForums Tanzania Ajira Portal inagoma kuomba nafasi ya kazi

    Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma. Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category" Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha. Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kufanya usaili wa IT Security huko ajira portal msaada wa muongozo

    Wakuu habari, Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu? Natanguliza shukrani
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:- 1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Ajira portal ina bagua baadhi ya profession

    Una kuta mtu ktk program aliyosemea ndani yake kuna courses za profession fulan lkn kama utumishi ktk education qualification wakisema wanataka B.A Y basi ni Y tu Huu.mfumo ni wa kuutazama uendane na programs zinazo tolewa na vyuo sio kujichanganya tu. Mfano : system akisema imwombaji awe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…