ajira mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Content Creator jamiiclub: Ajira Mpya Katika Dunia ya Kidijitali

    Habari wakuu, Ninaamini kuwa Content Creator ni aina mpya ya ajira katika dunia ya kidijitali, na inaweza kuwa fursa muhimu kwa vijana kujiajiri na kujenga vyanzo vyao vya kipato. Kwa sasa, mitandao ya kijamii imewezesha watu kushiriki mawazo, maarifa, vipaji na ubunifu wao kwa hadhira kubwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Januari Halmashauri ya Mkalama hatujalipwa fedha za kujikimu wakati idara ya afya wamelipwa

    Walimu tulioajiriwa mwezi Januari mwaka huu hadi sasa tumefikisha miezi minane bila kulipwa stahiki za fedha za kujikimu. Tunaomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti yetu ili kilio chetu kifike kwa wahusika. Wakati watumishi wa afya walioajiriwa kipindi kama sisi tayari wamelipwa stahiki zao...
  4. T

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu AJIRA mpya halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora haijatulipa fedha za kujikimu walimu wa ajira mpya 2026 badala yake imewalipa watumishi wa afya pekee, hii sio haki kwa watumishi wengine Kwani wote tuna haki ya kulipwa fedha hizo, mkurugenzi amekaa kimya na hakuna majibu ya kueleweka kuhusu jambo hili.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi ajira mpya Halmashauri ya Chato, tunaulizia fedha za kujikimu. Tumechoka kila mara kuandika barua

    Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026. KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni Barua.. Ukweli ni kwamba Barua...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Buchosa: Ajira Mpya Elimu Yadai Malipo Kamili

    Halmashauri ya BUCHOSA, Ajira mpya elimu tumelipwa hela ya kujikimu nusu ila tukiuliza kuhusu pesa iliyobaki hatupewi majibu yanayojitosheleza, wanasema tuandike barua na Kila tukiandika hakuna majibu yanayorudi.
  7. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Ajira Mpya Halmashari ya Mwanga tumelipwa fedha za kujikimu

    Tunashukuru baada ya kupaza sauti kuhusu changamoto ya kutolipwa fedha za kujikimu kwa sisi ajira mpya, hatimaye hilo limetimia na tumelipwa. Pia soma ~ Ajira mpya Afya Halmashauri ya Rombo hatujalipwa fedha za kujikimu
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya kutoka Babati Vijijini hatujalipwa fedha zetu za kujikimu

    Walimu tulioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Wilaya ya Babati Vijijini tunaomba kuwasilisha kero ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoanza kazi mwezi Februari. Tumekuwa tukifuatilia suala hili, lakini kila tunapouliza tunaelezwa kuwa fedha bado hazijaingia katika halmashauri. Hadi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo tuna mwaka hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi ajira mpya Wilaya ya Ileje tumelipwa nusu ya fedha za kujikimu kinyume na mwongozo

    Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kufuatilia na kuhakikisha tunalipwa fedha zetu zote za kujikimu kwa mujibu wa mwongozo uliopo. Tumepokea malipo hayo baada ya kuchelewa kwa muda mrefu, lakini tumeshangazwa kulipwa kiasi cha nusu tu ya fedha tunazostahili. Baada ya hapo tumeambiwa kuwa hayo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Januari 2026 tunaendelea kulalamikia kutopewa fedha za kujikimu

    Sisi ni walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026. Kwa muda sasa tumekuwa tukifuatilia malipo ya fedha zetu za kujikimu, lakini hadi sasa hatujapata majibu yoyote rasmi kutoka kwa mamlaka husika. Tumeingia mwaka mwingine wa fedha bila kupata ufafanuzi kuhusu hatima ya stahiki hizi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barua ya wazi kwa TAMISEMI kuhusu malipo ya fedha za kujikimu kwa Walimu wapya

    Sisi walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026 tunaomba ufafanuzi kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI kuhusu hatima ya malipo ya fedha za kujikimu. Hadi sasa zimepita takribani miezi sita tangu tulipoajiriwa, lakini bado hatujapokea fedha hizo. Kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya wa Feb 2025 - Bumbuli (Tanga) tumelipwa robo ila wale wa Januari 2026 wamelipwa

    Mtumishi ajira mpya ya Februari 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, tangu tumejiriwa tumepewa pesa robo tu ya kujikimu kila tukiulizia pesa yetu iliyobakia tunaambiwa kwamba serikali haijatoa fungu letu bado, hivyo hata hiyo robo tumepewa kutoka kwenye vyanzo vya ndani vya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mbomba - Songwe ajira mpya Kada ya Afya tumelipwa pungufu fedha za kujikimu

    Mimi ni mtumishi Halmashauri ya Mbomba mkoa wa Songwe ajira mpya Kada ya Afya tunadai pesa zetu za kujikimu kwa muda mrefu sana sasa, Julai 12, 2026 wamelipa ila wamelipa pungufu wakati walisema kuwa serika imeshaingiza pesa zote hivyo tutalipwa zote bila ubaguzi. Ajabu wamelipa kiwango tofauti...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Kwimba nao walalamikia kutolipwa posho za kujikimu kwa ajira mpya

    Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Ngudu mkoani Mwanza, wafanyakazi wa ajira mpya 2026 bado hatujalipwa posho za kujikimu. Tunaomba mamlaka husika zishughulikie suala hili, na tunawaomba mtusaidie kupaza sauti yetu.
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waajiriwa wapya wa Wilaya ya Ileje, tumelipwa fedha kidogo sana za kujikimu kuliko tunachostahili

    Waajiriwa wapya wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, tunaomba Wizara na viongozi husika kutusaidia ili tulipwe fedha zetu za kujikimu na nauli kwa kiwango kinachostahili. Tumelipwa kiasi kidogo sana ambacho hakilingani na kiwango kinachotarajiwa, na pia ni tofauti na malipo yaliyotolewa kwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya Januari 2026 tumebaguliwa na kutothaminiwa na TAMISEMI kuhusu malipo ya fedha za kujikimu

    Sisi walimu wa ajira mpya wa mwaka wa fedha 2025/2026, tulioajiriwa katika kipindi cha siku 100 za Mheshimiwa Rais, tunaomba mamlaka husika, hususan Ofisi ya Rais - TAMISEMI, isikilize na kutatua changamoto ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu. Hadi sasa, walimu wengi katika halmashauri...
  19. H

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Bariadi Vijijini hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuajiriwe mwaka 2025

    Habari za muda huu, JF. Mimi ni mwalimu wa ajira mpya na ninawakilisha walimu wenzangu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Bariadi Vijijini. Tunaomba msaada wako katika kufikisha kero yetu kuhusu kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoajiriwa mwaka 2025. Tumejaribu kufuatilia suala hili...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Momba DC kada ya afya wa Januari 2026, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu

    Habari za majukumu, JF. Sisi watumishi wa ajira mpya wa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba (Momba DC) bado hatujapokea fedha zetu za kujikimu hadi leo, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamelipwa. Jambo linalotusikitisha zaidi ni kwamba tunapofuatilia stahiki zetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…