ajenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mhe. Chalamila umelazimisha kugeuza ajenda ya msongamano wa magari barabarani, haujatusaidia waathirika wa malori yenu.

    Wakazi wa wilaya ya Temeke ni waathirika wakubwa wa msongamano unaosababishwa na malori ya bandari kavu zilizozagaa mitaani wilaya ya Temeke. Barabara za Temeke na Mbagala hazipitiki kutokana na malori ambayo unasita kuamuru yaende Kwala Kibaha, huu ni uhujumu uchumi. Serikali imejenga reli ya...
  2. JamiiForums Tanzania Jussa: Kuna watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko wanataka tuwafuate

    Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kalonzo Afichua “People’s Budget” Ya Vipengele 13 Kabla Ya 2027

    Kiongozi wa Wiper Patriotic Front, Kalonzo Musyoka, ameweka mezani ajenda yake ya vipengele 13 anayoita “People’s Budget”, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027. Kalonzo amesema mpango huo ni mbadala wa Vision 2026 ya Rais William Ruto, akisisitiza kuwa Kenya haihitaji “kubadilisha jina”...
  4. JamiiForums Tanzania Sigrada: Sometimes naona bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu, Waafrika wenzetu wanatuchelewesha sana

    Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha." "Mimi mdogo wangu, nitaenda...
  5. JamiiForums Tanzania WaTanzania wanaipenda na kuiamini sana CCM, kama ambavyo CCM inawapenda sana wananchi wote na kuwatumikia waTanzania kwa weledi na bila ubaguzi

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hilo kama taifa. Ushindi wa kishindo cha zaidi ya 90% alioupata mgombea ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Isimani, mkoani Iringa, ni uthibitisho tosha wa mapenzi mazito sana ya waTanzania kwa ccm, na imani kubwa sana walioyonayo kwa wagombea...
  6. JamiiForums Tanzania Vibaka wana ajenda yao, niliwaambia mkacheka; mwingine aporwa milioni tano, kama nilivyovamiwa mimi

    Kijana mmoja mtumishi wa serikalini, avamiwa na vibaka, maeneo ya kijangwani na kumpandikizia eti kamshika mtu bega kumbe ni mkakati wa kumpora, kapewa kichapo, na pesa milioni tano wamesepa nazo wahuni. Ni wiki kadhaa tu tangu tukio la mimi kutolewa visu mchana kweupe na kunipora pesa na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wapuuzeni Msijibu yale matusi ya vijana wa Chaumma waliokimbia Chadema kwa mahaba ya mbowe wana ajenda yao

    Kuna wale vijana waliotoka chadema kwa ridhaa yao na kuhamia chauma baada ya ajenda yao kujulikana. Hawa vijana wanatafta attention kupitia kuitukana chadema na maneno yasiyo na tija mtandaoni! Watu hao wanaotumia kurasa za mitandao ya kijamii kuishambulia zaidi chadema. Wana ajenda kuu...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu baada USA kumkamata raisi wa Venezuela kulikuwa na ajenda ambao walijitokeza wakiwa upande wa CCM na account zao,Haya angalia na hii

    Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii . Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka. Hili group la CCM lina amrisha sana .
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hizi sio harakati ni agenda za kuvuruga nchi

    Wanaukumbi. HIZI SIYO HARAKATI NI AJENDA ZA KUVURUGA NCHI 📌 Hakuna jinsi unaweza elezea watu kuwa ni sahihi kufanya maandamano tena ya kisiasa siku ya sherehe muhimu kama Krismasi. Anachokifanya Maria Sarungi na kundi lake ni mfano wa wazi jinsi walivyo na rotten morality towards human beings...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania imeunga mkono ajenda zote katika Mkutano wa tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

    Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Watakaoshiriki tukio la D9 ajenda yao kubwa ni nini?

    Wanabodi, Watakaoshiriki D09 Wana ajenda ya kudai Miili ya wapendwa wao pamoja na waliotekwa kuweza kurejeshwa wakiwa hai au wamekufa ili wakazike wapendwa wao. Wahusika wanapaswa kuwa macho na kulifanyia kazi suala hilo ili kuepusha yale yaliyotokea MO29. MUNGU ibariki Tanzania
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi: Chama hiki kimejikita katika kusukuma ajenda za maendeleo, kwaiyo akitokea mtu akasema hakuna kilichofanyika unabaki unamuangalia

    " Chama hiki kimejikita katika kusukuma ajenda za maendeleo, kwaiyo akitokea mtu akasema hakuna kilichofanyika unabaki unamuangalia" amesema Kihongosi Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Yamkini Wabunge wa hovyo hovyo watapitishwa ili waingie bungeni kuipeleka ajenda ya Samia for life

    Huenda Ndicho kinacho sukwa kwa sasa. Mtazinduka mmesha jikojolea tayari.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ? Sasahivi kila...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Kazungu: Nishati safi ya kupikia ni ajenda ya Dunia, Wizara inaitekeleza kwa vitendo

    Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu leo 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia chini ya kampeni ya nishati safi...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Kuna ajenda gani inaendelea kwa hawa Waarabu wa Oman wenye mapenzi ya dhati kwa Wasukuma?

    Wakuu, Hizi hoja za kuwatambua watu kwa misingi ya makabila, kama vile kudai kwamba Waarabu wa Oman wana mapenzi maalum kwa Wasukuma, si jambo la kawaida ni njia ya kujaribu kutafuta sababu ya kuhalalisha uwepo wa Waarabu nchini. Kwa nini kipindi hiki ndo tuanze kusikia kuhusu uhusiano wa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali inaruhusu watoto waendelee kwenda shule wakati wa likizo kumbe ina ajenda yake

    Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao. Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Siyo Kipaombele Cha Mamilioni ya Watanzania ndio Maana Ajenda Hiyo Haiungwi Mkono wala Kuzungumzwa Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani . Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
  20. JamiiForums Tanzania Matukio yote Duniani Yanayofadhiliwa na Marekani ni Ajenda Iliyopangwa Muda Mrefu

    Watu wanashindwa kutambua kuwa Marekani ilishaachana na sera za kujenga mabarabara na shule, ajenda yao kuu ni kuwa na nguvu Duniani, kuitawala Dunia, kuiweka Dunia kiganjani. Ulaya yote hakuna anayekoroma pale ambapo Marekani anatoa maelekezo yake kuhusu Dunia, zaidi ya kuwa watu wa Ulaya ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…