aina mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  2. Aina mpya ya utajili inayokua kwa kasi sana: DIGITAL ASSETS.

    Uchumi wa kidijitali unachangia kwa kasi ukuaji wa ajira na kipato duniani, huku matumizi ya mtandao yakiongeza fursa za biashara mtandaoni (World Bank Digital Economy Report, 2021). Swali la kujiuliza si tena: “Ni mali gani ninamiliki leo?” Bali: “Ni digital asset gani ninajenga leo ambayo...
  3. Houth wasema wana aina mpya za silaha ambazo wanakusudia kuanza kuzitumia kwa Israel.Na wameweza kuzuia mashambulizi ya jana yaliyofanywa dhidi yao

    Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe. Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu...
  4. Car4Sale INAUZWA PRADO TX OLD MODEL

    Land Cruiser Prado TX Price 19,300,000/- millions Tshs with full document and insurance cover note! ~Engine 3RZ Petrol ~Automatic Drive ~Low mileage ~Engine cc 2600 ~New tyres✅ #0718 578 433 📍Iko dar es salaam posta
  5. Israel kwawaka moto.Hezbollah katumia aina mpya ya silaha

    Baada ya makambi ya jeshi la Israel kushambuliwa wananchi wote wametakiwa kukaa karibu na mahandaki yao kuhofia maroketi zaidi. Hali hiyo imetokea kwenye maeneo kadhaa ya Israel hasa kaskazini baada ya Hizbullah kurusha aina mpya ya maroketi ambayo yana ufanisi zaidi katika kupiga eneo lengwa...
  6. Iran yalalamika kuhusu hii aina mpya ya mashambulizi ya Israel dhidi ya magaidi wa Hezbollah

    Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah.... ============================= Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack...
  7. Wafanyabiashara wa nguo za mitumba wagundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu

    Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini. Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani kutafuta nguo zilizotupwa na zilizoletwa na magari ya taka na hivyo kuchukua nguo hizo kwa kununua...
  8. Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    Israel wanaendelea kukagua kila aina ya silaha iliyoshushwa... Kadiri silaha zao Iran zilivyopigwa chini ndivyo walipata hasira na kujaribisha aina mpya silaha za siri walizokua wameficha, na zenyewe zilishushwa, hii ni aibu sana kwa Iran na wavaa dera wote wanaoshabikia ugaidi wa dini...
  9. Ugunduzi wa aina mpya za Dawa za Kulevya daily ni anguko kuu kwa Vijana

    Huko Sierra Leone Serikali imetangaza Matumizi ya Dawa za Kulevya Kuwa Dharura ya Kitaifa huku Rais Julius Maada Bio akitangaza Mapambano dhidi ya Mihadarati aina ya 'Kush' Kush inatajwa kuwa na uraibu sawa na Bangi na tramadol na imekuwa ikitumiwa zaidi na Vijana wasio na ajira wakikabiliana...
  10. A

    DOKEZO Aina mpya ya mianya ya rushwa na upigaji ya watendaji wa TANESCO

    Wakuu , heshima mbele. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli TANESCO hili shirika unaweza kudhani pengine tukibadili viongozi wa juu ndio inaweza kuwa mwisho wa matatizo ila pengine naona labda tuanzie kwenye "grassroots" Ipo hivi, baada ya kufanya ombi la umeme kupitia mfumo surveryor...
  11. Hili hapa Tairi aina mpya "solid tyre"

    Tuchanuane. What are the disadvantages of these solid tyres compared to pneumatic ones. Kama haujui pia sema tu haujui.
  12. Aina mpya ya Dawa hatari za Kulevya yaingia mtaani

    Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi. Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya. Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
  13. Mbu asiyekufa kwa Dawa zilizopo Afrika agundulika Kenya

    Wataalamu kutoka Taasisi a Utafiti na Tiba (KEMRI) wamesema aina ngeni ya Mbu wa Anophelesi Stephensi kutoka Asia Kusini amebainika kuwepo kwenye makazi ya Watu katika Kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa Data za Hospitali zimeonesha ongezeko la Wagonjwa wa Malaria ingawa sio msimu wa Magonjwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…